Sababu 5 zikazo wanyima ushindi wapinzani 2015

armanisankara

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
283
49
1)kura vijijini: watu wengi vijijini wanasubiri pilau, kanga, vitenge na ahadi za uongo za CCM
2)kura za wakina mama: wakina mama wengi bado wana mapenzi makubwa na CCM. Wakiwapewa kanga, vitenge na show za bongo fleva.
3)Mapenzi na Vyama vya Siasa: Tofauti za siasa za Tanzania na nchi nyingine ni kwamba nchi zingine wanaangalia sifa za mgombea na sio Chama. Kuna watanzania wengi bado wanakipenda CCM sababu ya historia na viongozi wake wa Zamani wanasahau 2015 CCM sio ya Zamani.
4)vyombo vya usalama: vyombo vyote vya usalama hua vinatumia ujuzi na nguvu zao zote kubeba Chama chenye dola [CCM].
5)kuiba/kuibiwa kura: kwenye changuzi nyingi hapa Tanzania kura hua zinaibiwa Kuanziwa changuzi za chini mpaka Juu.
 
Mkuu wala usipate hofu michango ya maabara imewaharibia CCM kabisa vijijini na mpaka sasa michango na kamatakamata bado inaendelea. Hivi karibuni nimetishiwa na afisa mtendaji kunifunga jera kwa kutowalipia ng'ombe mbuzi na kondoo wangu mchango wa maabara. Hii maabara ulikuwa mpango wa Mungu kuvuruga mapenzi ya wananchi wa vijijini kwa CCM. Uchaguzi wa mwaka huu CCM haina jinsi ni lazima izikwe kitakatifu ikawasalimie ndugu zake akina KANU.
 
  • Thanks
Reactions: jme

You are merely & simply talking about KANU unknowing what goes on about Kenyan Politics.
CCM haiwezi kuyumba kiasi ya KANU.

Huko kuna mambo mengi. UKABILA uko juu zaid ya Tanzania na ndio unaoongoza system ya siasa za KENYA. KANU haikuwa mbaya kiasi hicho.

Lakini, cha mno zaid huko ilikuwa "mtupishe na sisi tule!". That is what has real been going in Kenya. Hakuna mabadiliko unayoweza kusema yameletwa na changes hiyo. Kikubwa nikwamba baadhi ya Makabila yameeidhika kwa watu wao kushika hatamu na vitu vingine kama hivyo.

Kuhusu wizi wa KURA. Hili sijafanikiwa kulipatia jawabu kabisa. Yaani WAKALA wa CDM anahesabu kura za mgombea wake kuwa ni 10, halafu kwenye ubao wa matangazo anakuta 5! Possible?

Hapo sijaelewa mantiki yake zaid ya kuamini kuwa, hiyo wapinzani wamekuwa wakiitumia trick hiyo just as a "defence mechanism" towards being defeated!

POLENI!!!
 
Mkuu umegusa mambo mawili tu ya Msingi ambayo ndo yanawabeba ccm! Mengine imebaki historia, vijijini wamebadilika sana tofauti na miaka 10 iliyopita. Kwenye jimbo langu ambako maccm yalijiamini yatapata ushindi Wa asilimia 100 yalijikuta yanaburuzwa chini yakipata 40% na UKAWA 60% na huko sasa ni vijijini!! Mimi nakubaliana na Wewe katika mambo mawili:-
(1) Vyombo vya usalama: hapa ndo Shida ilipo vyombo hivi vinatumia nguvu mno kuhakikisha maccm yanabaki madarakani, lakini mwaka huu wajiandae kuua raia ili waume zao waendelee kutawala wananchi wameanza kuwa sugu na huenda nwaka huu zikapigwa!!
(2) Kuiba/kuibiwa kura; hapa napo ndo kwenye shida! Wasimamizi Wa uchaguzi wanafanya hila ya kubadilisha matokeo tena kwa kulazimisha, lakini kwa jinsi RAIA walivyobadilika kuna hatari wakurugenzi wengi mwaka huu huenda wakachinjwa kama watafanya huo ujinga!!

Tusihofu, raia wamebadilika sana hasa vijijini mpaka sisi Wa mjini tunaoneka wapuuzi!! Mwakani tembo atajibeba maana sasa hivi anatupatupa miguu akikaribia kukata roho!!
 
You are merely & simply talking about KANU unknowing what goes on about Kenyan Politics.
CCM haiwezi kuyumba kiasi ya KANU.

Huko kuna mambo mengi. UKABILA uko juu zaid ya Tanzania na ndio unaoongoza system ya siasa za KENYA. KANU haikuwa mbaya kiasi hicho.

Lakini, cha mno zaid huko ilikuwa "mtupishe na sisi tule!". That is what has real been going in Kenya. Hakuna mabadiliko unayoweza kusema yameletwa na changes hiyo. Kikubwa nikwamba baadhi ya Makabila yameeidhika kwa watu wao kushika hatamu na vitu vingine kama hivyo.

Kuhusu wizi wa KURA. Hili sijafanikiwa kulipatia jawabu kabisa. Yaani WAKALA wa CDM anahesabu kura za mgombea wake kuwa ni 10, halafu kwenye ubao wa matangazo anakuta 5! Possible?

Hapo sijaelewa mantiki yake zaid ya kuamini kuwa, hiyo wapinzani wamekuwa wakiitumia trick hiyo just as a "defence mechanism" towards being defeated!

POLENI!!!

Kura za Tanzania mkuu zinabadilishwa wakati wa majumulisho. Na hii inasaidiwa na Tume kuzuia kura za urais za vituoni na wilayani zisitangazwe kwenye vyombo vya habari ili wananchi wasije kujijumlishia na kujua hesabu halisi. Mwaka 2010 hesabu za mawakala vituoni ni tofauti kabisa na zilizotangazwa na tume na tume imepewa nguvu ya kikatiba ya kutohojiwa matangazo yake ya urais na chombo chochote kile, na no maana inafika miaka mitano haijakamilisha hesabu ya kura za urais katika website yao. Lawama kubwa naielekeza kwa vyama vya upinzani kwa kuelekeza nguvu nyingi kwenye kura za udiwani na ubunge na kusahau kura za urais , hivyo kutoa mwanya wa uchakachuaji.
 
Mkuu wala usipate hofu michango ya maabara imewaharibia CCM kabisa vijijini na mpaka sasa michango na kamatakamata bado inaendelea. Hivi karibuni nimetishiwa na afisa mtendaji kunifunga jera kwa kutowalipia ng'ombe mbuzi na kondoo wangu mchango wa maabara. Hii maabara ulikuwa mpango wa Mungu kuvuruga mapenzi ya wananchi wa vijijini kwa CCM. Uchaguzi wa mwaka huu CCM haina jinsi ni lazima izikwe kitakatifu ikawasalimie ndugu zake akina KANU.

Safi sn Mkuu, nimekukubali
 
Kuhusu wizi wa KURA. Hili sijafanikiwa kulipatia jawabu kabisa. Yaani WAKALA wa CDM anahesabu kura za mgombea wake kuwa ni 10, halafu kwenye ubao wa matangazo anakuta 5! Possible?
!
umezaliwa leo hapa Tanzania???
 
Pamoja na hayo yote watu tuhamasike kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ili tuweze kuwa na sifa stahiki wakati wa uchaguzi, siyo tunapiga kelele na kuhudhuria kwenye mikutano ya kampeni kujaza viwanja mwisho wa siku kura hatupigi huu ni ujinga na kutokujielewa. Kura zikiwa nyingi hata mwizi ataogopa kuiba.
 
Roryai vijijini na hatuitaki ccm uenda pwani huko kama tanga,kibaha,lindi huko ndio wanaweza kupata kura
 
Kijini kwetu zaidi ya 60% wapinzani wanaongoza,sijui unamaanisha vijiji vp? Kama ni vijiji vya Tanga,Dodoma,Ruvuma na Pwani utakuwa uko sahihi lakini sio vijiji vya Musoma,Katavi,Rukwa,Kagera,Mbeya,Arusha,Manyara,Mwanza,Geita,Kigoma nk.
 
umezaliwa leo hapa Tanzania???

Nisuala la kutoa ufafanuzi unaoufahamu juu ya issue hiyo(kama MANNING" alivojaribu hapo juu.

Lakini bado naona ni sababu zisizo za msingi. How comes WAKALA wenu anaweza akauzwa angali active ndani ya chumba cha kura.

Mimi nimekuwa WAKALA ile uchaguzi wa Desemba 2014 nikikiwakilisha CCM. For sure, kama WAKALA upo makini, hakuna jambo linaweza likayumba.
 
Back
Top Bottom