Kama sitta mbaya, wako wapi wazuri?

armanisankara

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
283
49
BMK linaendelea na vikao vyake, licha kundi la ukawa kususia kwa madai ya kubezwa na kuburuzwa na wajumbe kutoka CCM. Baada ya kutoka nje Ukawa, wito kutoka makundi mbalimbali umetolewa wakiwataka kurejea na kutoa hoja wanazozitoa wakiwa ndani ya bunge. Ili zijadiliwe na kama na zitakubalika
 
Ivi kweli mkuu mpaka AG wa Zanzibar kuachia ngazi we hujiulizi kashtukia kuna BMK? Kuuliza ubaya wa sitta uko wapi inamaana unajiridhisha with what is going on there. Hii dhambi itamtafuna sana 6 baadaye. Hii katiba ni ya watanzania wote mkuu sio ya UKAWA wala kundi lolote lile.
 
Back
Top Bottom