Ipo wapi safu nene ya uongozi CCM?Ukubwa wote wa NEC wanakosa viongozi na mawaziri

Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
JK kavunja baraza la mawaziri mara nyingi, na bado hajaweza weka mawaziri wapya na wazuri, kawarudisha wengine akijitetea kwa sababu nyepesi.Ila wote bado wanaboronga.Kawapa semina elekezi bado bundi hajahama nyumba ya CCM.

Balaa kubwa zaidi ni chaguzi za kitaifa za CCM, CCM haijaweza pata kiongozi ktk rundo la waganga njaa ,wala na watoa rushwa,ma don wa ufisadi.CCM kwa mbwembwe wamechagua mzigo mkubwa zaidi za uchafu.Mtu kama kinana aliyeaminika kuwa ndio msafi na shupavu, anashindwa jibu kwanini kampuni yake imekuwa njia salama ya wapora maliasili zetu.Anatoa majibu mepesi.

Hadi sasa waliondoka na walioingia ni mizigo kwa CCM, raisi aliyepo naye anatafuta nyika nyoka mwenye ndimi mbili ktk kundi la nyoka.Sijui ndio anategemea baadaye ashike wote ili ngoma iwe droo au lah.Kwani nyoka wote wana ndimi mbili.Na hii ni baada ya mgamba kugoma vuka.

Ipo wapi hiyo safu nene wanayotembea kifua mbele wana CCM wakiamini ipo?Tunaomba tuambiwe ,tuonyeshwe tuwaone.
 
A

armanisankara

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Messages
283
Points
195
A

armanisankara

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2011
283 195
ninavyoelewa mimi safu nene sio tu viongozi wa juu. chama lazima kiwe na safu mpaka huko vijijini.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
ninavyoelewa mimi safu nene sio tu viongozi wa juu. chama lazima kiwe na safu mpaka huko vijijini.
huko vijijini CCM ndio haina viongozi wenye elimu ya kiwango cha kutosha kama CDM.N ahata wana CCM wakijidaia huwa wanalenga taifa, wakitazama mawaziri na manaibu wake,pamoja na viongozi wa chama kitaifa.Wote wamejijaza ktk level za wilaya mkoa,na taifa na ndio waliopo ktk NEC.So ni vyema tukaanzia hapo.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Wassira na kuchemsha kwake kote bado kapta nafasi ndani ya CCM ya kisasa?
 
Mchaka Mchaka

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Messages
4,526
Points
0
Mchaka Mchaka

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2010
4,526 0
bora waendelee kuchemka hivyo hivyo ili ifikapo 2015 tuichukue tena nchi yetu, maana kiukweli CCM inachosha sana! binafsi naona hakuna haja ya kuwashtua hawa mafala, wacha waendelee kuchaguana kifalafala, huku sisi chadema tujipange sawa sawa kwa ajili ya ukombozi wa nchi yetu ifikapo 2015.
 
Ngwanakilala

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Messages
401
Points
250
Ngwanakilala

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2011
401 250
Wanaweza kuchukua viongozi kutoka hapa ili kuendeleza nepotism:

Archive: UPENDELEO WA WATOTO WA VIGOGO MAKAZINI
BARAZA LA MAWAZIRI
Angela Kairuki – mtoto wa mama Mkwizu ni naibu waziri wa sheria
January Makamba – mtoto wa makamba ni naibu waziri wa teknologia
Dr Mathayo David Matahayo (Mathayo Cleopa David Msuya) – mtot eaMsuya ni Naibu waziri
Hussein Mwinyi – Mtoto wa Mwinyi ni waziri wa afya
Abdallah Mwinyi- mtoto wa mwinyi ni Mbunge wa EAC

WAKUU WA WILAYA
Gerald J. Guninita - Wilayaya Kilolo
Paul Mzindakaya - Wilayaya Busega (mpya)
Festo Kiswaga - Wilaya ya Nanyumbu (yuko ukoo wa mamaMongela)
Khanifa M. Karamagi - Wilaya ya Gairo (mpya)
Husna Mwilima - Wilaya ya Mbogwe (mpya)
John V. K. Mongella - Wilaya ya Arusha
John B. Henjewele - Wilaya ya Tarime
Agnes Hokororo – Wilaya ya Ruangwa

WABUNGE
Vita Kawawa
Zainabu Kawawa
January Makamba
Livingston Lusinde Malecela

SERIKALINI
Janeth George Kahama, - Mganga Mkuu waJiji la Dar es salaam
Dk. Hawa Rashidi Kawawa - Mganga MkuuMsaidizi wa Jiji la Dar es Salaam
Dk. Guni Kate Kamba - Mganga Mkuu waManispaa ya Kinondoni
Dk. Asha Omar Mahita - Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala
Dk. Amani Kighoma Malima - MgangaMfadhiwi wa Hospitali ya Temeke

VYAMA VYA SIASA
Nape NNauye – mtoto wa Moses Nnauye nikatibu mwenezi CCM
January Makamba – Mtoto wa Yusufu Makamba

WATOTO WA VIGOGO WALIOPITAUVCCM NGAZI YA TAIFA.
1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA

14. MBONI MHITA
15. JONAS NKYA

MASHIRIKA, TAASISI, MAKAMPUNI BINAFSI NA YA UMMA
Emanuel Mongela – mtoto wa mama Mongelani ofisa benki ya standard charter Arusha
Patrick Mongela - MKURUGENZI waUendeshaji wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF)
Mwamvita Makamba – mtoto wayusufu Makamba mi ofisa wa ngazi ya juu VODACOM
Nafue Nyange Kilango Malecela-Mtoto wa Anna Kilango Malecela ni ofisa wa ngazi ya Juu NSSF

Watoto wa Vigogo BOT
Salama Ali Hassan Mwinyi
Filbert Tluway Sumaye
Zaria Rashid Kawawa
Blasia William Mkapa
Herriet Marten Lumbanga
Pamela Edward Lowassa
Rachel Muganda
Salma Omary Mahita
Justine Mungai
Kenneth Nchimbi
Violet Philemon Luhanjo
Liku Kate Kamba
Thomas Mongela
Jabir Abdallah Kigoda
 
Sidhani kama mtoto wa masikini na raia wa kawaida anaweza kuwa boss ktk hizi office na anasurvive ktk hizi office.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Ipo wapi safu nene ya uongozi ktk CCm hadi rais kuingi aktk kutolea ufafanuzi na melekezo ktk vitu vidogovidogo?Ipo wapi hiyo sau ya uongozi nene ya CCM hadi wanakosa kiongozi mpya wa kuwatoa makapi waliopo na wanaorudiwa rudiwa.Ipo wapisafu nene ya uongozi hadi CCM wakawa wanarudia rudia mawaziri?

Shame on Sitta na magamba kwa ujumla.
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,245
Points
2,000
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,245 2,000
Ipoos afu nene ya uongozi ktk CCm hadi rais kuingi aktk kutolea ufafanuzi na melekezo ktk vitu vidogovidogo?Ipo wapi hiyo sau ya uongozi nene ya CCM hadi wanakosa kiongozi mpya wa kuwatoa makapi waliopo na wanaorudiwa rudiwa.Ipo wapisafu nene ya uongozi hadi CCM wakawa wanarudia rudia mawaziri?
Relax, unakimbizwa na nani ebu jisome uangalie jinsi unavyoandika kama mtoto wa Kindergarten.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Relax, unakimbizwa na nani ebu jisome uangalie jinsi unavyoandika kama mtoto wa Kindergarten.
hicho ndicho kimbilio lako,nashukuru kwa marekebisho ambayo nilishafanya.Check time uliyotuma na time niliyofanya editing.Ila ningefurahi kam aungejikita ktk thread zaidi.Otherwise utabaki kuwa useless creature in this forum.
 
50thebe

50thebe

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,143
Points
2,000
50thebe

50thebe

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,143 2,000
Kidogo kidogo Watanzania tutaelewa maana ya Maisha Bora kwa kila Mtanzania kwa Nguvu Zaidi, Ari Zaidi na Kasi Zaidi.

Halafu, CCM kwa vile kwo kupeana nafasi kwa vigezo vya KNOW WHO ndio zao basi wanaakisi mambo hayo hayo kwa vyama vingine. Sijasahau walivyoiBRAND CUF kuwa ni chama cha kiislamu kiasi kwamba CUF ikakosa mashiko Tanganyika, I mean Tanzania bara.

CCM ndio basitena
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,245
Points
2,000
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,245 2,000
hicho ndicho kimbilio lako,nashukuru kwa marekebisho ambayo nilishafanya.Check time uliyotuma na time niliyofanya editing.Ila ningefurahi kam aungejikita ktk thread zaidi.Otherwise utabaki kuwa useless creature in this forum.
Wewe niite vyovyote upendavyo mie nafurahi sana unavyoumiza kichwa kunijibu.

Hivi unajua kuwa mgogoro wa ukabila na udini hautaicha salama Chadema kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015, na hasa endapo mpango wa Mbowe na Dr Slaa wa kumtosa Zitto.

Chadema wanatuhumiwa kupanga safu za uongozi kwa ukabila na ukanda wa kaskazini, yapo madai kuwa baadhi ya viongozi wa juu hataki chama chenu kiongozwe na Muislam.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Wewe niite vyovyote upendavyo mie nafurahi sana unavyoumiza kichwa kunijibu.

Hivi unajua kuwa mgogoro wa ukabila na udini hautaicha salama Chadema kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015, na hasa endapo mpango wa Mbowe na Dr Slaa wa kumtosa Zitto.

Chadema wanatuhumiwa kupanga safu za uongozi kwa ukabila na ukanda wa kaskazini, yapo madai kuwa baadhi ya viongozi wa juu hataki chama chenu kiongozwe na Muislam.
naona unapayuka kila kinachokuja mdomoni na kichwani kwako kama sheikh yahaya alivyokuwa akimix vitu na hivyo kushia wamix waumini wake.Hujamaliza jibu kimoja unayeyesuasha umbea mwingine.Umejifanya mahakama ukahukumu suala la Dr.SLaa na maisha binafsi,sasa umeanzisha jipay lingine baad aya kushindwa moja.

Umbea umeshakuw aprofession yako kuu.
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,245
Points
2,000
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,245 2,000
naona unapayuka kila kinachokuja mdomoni na kichwani kwako kama sheikh yahaya alivyokuwa akimix vitu na hivyo kushia wamix waumini wake.Hujamaliza jibu kimoja unayeyesuasha umbea mwingine.Umejifanya mahakama ukahukumu suala la Dr.SLaa na maisha binafsi,sasa umeanzisha jipay lingine baad aya kushindwa moja.

Umbea umeshakuw aprofession yako kuu.
Nimeshindwa lipi? Suala la Dr Slaa kupora mke na kutelekeza familia yake hata wendawazimu wanajua. Uwezi kupambana na ilo...wewe hapa unafanyaje zaidi ya kuandika umbea.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Nimeshindwa lipi? Suala la Dr Slaa kupora mke na kutelekeza familia yake hata wendawazimu wanajua. Uwezi kupambana na ilo...wewe hapa unafanyaje zaidi ya kuandika umbea.
hayo unayorudiarudia kama kasuku ndio comments kama tatu juu umeshindwa thibitisha, umekiri kuwa suala lipo mahakamani na umekiri kuwa wewe is mahakama ila hapa una hukumu.Kweli wewe hamnazo.Umeweka free brain yako ili kusave nini sasa?Oxygen?

Unataka jua wapi umeshindwa?washa brain hiyo utajua tuu.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Ipo wapi safu nene ya CCM iokoe jahazi lema anapokwend adai haki yake yahibitisho aliotakiwa na mama makinda atoe huku akitishwa kuhusu Pinda kudanganya Bunge.Kw alaiyesikia ni wazi ataoan kuwa pind alaidangnya Bunge.Na hii itapelekea Pinda kujiengua tuu hakuna escape tena.

Magamba mtakuw ana mawaziri wengine au mta recycle huu uchafu mlio nao tena.CDm wachungu wakiwa bungeni na nje.Wapo wapi wanaosema Lema sijui hakusoma wala sijui hana nini?sasa yupo kazungukwa na makamanda wenye kutisha kisheria kama Badger.

Ciao Pinda.Jiandae kuondoka na usijiandae kutuchekea vibaya kwa dharau inayotia kichefuchefu wala kulialia lia.Be a man kam aulivyokuwa kazini ktk usalama wa CCM.Jikaze kiume urudi kufanya kzi zako ulizojifunza.Huwezi kuw amagamba na ukasalimika linapokuja gharika lenu kubwa. "logic" aka rational thinking.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Kidogo kidogo Watanzania tutaelewa maana ya Maisha Bora kwa kila Mtanzania kwa Nguvu Zaidi, Ari Zaidi na Kasi Zaidi.

Halafu, CCM kwa vile kwo kupeana nafasi kwa vigezo vya KNOW WHO ndio zao basi wanaakisi mambo hayo hayo kwa vyama vingine. Sijasahau walivyoiBRAND CUF kuwa ni chama cha kiislamu kiasi kwamba CUF ikakosa mashiko Tanganyika, I mean Tanzania bara.

CCM ndio basitena
Safi nene imeyeyuka, sasa hata magufuli(nyapara), Wassira, na wengine sasa wanajiona nao wanaweza kuwa marais..wengine wanakimbia hata majukwaa, ...6x6(futi za kaburi) nae ndio hivyo.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
Nimemsikiliza, pinda, mwigulu, Nagu na junks nyingine, najiuliza hivi CCM hawana mbadala?
 
Forum statistics

Threads 1,295,995
Members 498,495
Posts 31,230,159
Top