Mtoto wa Rugemalira

Mtoto wa Rugemalira

Status
Not open for further replies.

armanisankara

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
283
Reaction score
50
kuna watanzania wanaishi maisha ya shida. Lakini huyu mtoto wa fisadi anakula raha kwenye club na hotel za bei mbaya. Hapa yupo na Rihanna.
 

Attachments

  • 1417644847342.jpg
    1417644847342.jpg
    95.6 KB · Views: 987
Duuhhh kweli kuna magap duniani... Lakini siku yaja kama yaliyowafika wakina gadaf na ukoo wao.
 
ya dunia yana mwisho bali hukumu ya moto na mbinguni yana umilele.
 
Acha kudanganya watu sasa huyu sio mtoto wa Rugemalira,mimi nawajua watoto wake wote,huu sasa uzushi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom