Recent content by Armani chicandow

  1. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Poland yamvimbia Russia, huu ujasiri wanautoa wapi?

    Kawaida tu hiyo. Mbona hata sisi Tanzania tulimvimbia marekani. Ni kutafuta kiki tu ili nchi nayo ikumbukwe. Kuna nchi unaweza kuzisahau kama zipo endapo kusipokuwa na sababu
  2. Armani chicandow

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

    Ukiwasha vpn unaangalia eti sasa ndo nini?
  3. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Tahadhari za kuchukua kukabiliana na kimbunga cha JOBO

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  4. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    ubaguzi hata hapa Tanzania upo. tena wa wenyewe kwa wenyewe. hasa ukabila na udini. Tukitaka kutokomeza ubaguzi tuache sisi majumbani kwetu kisha ndo twende kwa jirani
  5. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi yenye starehe Kama Tanzania na Burundi kidogo

    kichwa cha habari ni starehe sio kupanga mizigo posta
  6. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi yenye starehe Kama Tanzania na Burundi kidogo

    mawazo ya wasiotembea
  7. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Josky Kiambukuta Londi afariki Dunia

    Kaka hatumjui huyo.. jaribu kurudisha miaka nyuma
  8. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Watu wa Morogoro kwanini mnapenda sana kujieleza?

    yawezekana ukamuona mjinga ila mjinga ni wewe ambaye umeshindwa kujua point yake. anakusanya maoni na ushauri wa mipango yake. ili kama kuna mawazo mazuri zaidi ya aliyo nayo yapate kumpa fulsa. na yawezekana wewe ukawa abiria wa ishirini na wote amewaambia
  9. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tumesitisha Sunday school na Madrasa, tulichoruhusu ni Ibada tu tena zifanyike kwa muda mfupi kisha waumini waondoke

    Nimekubali uwazili ni cheo cha kupewa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Line between life and death

    Uwepo wa kifo ndio hudhihirisha kuwa maisha yalikuwepo. Maisha yasingekuwa na thamani yaliyonayo kama kusingekuwa na kifo. Usiogope kufa lakini usife kizembe.
  11. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Khadija Kopa ni exceptional singers

    Mimi team Jesus Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Pwani: Ajali ya Magari imeua Watu 21 na wengine 15 kujeruhiwa. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Solution ni kutengeneza barabara nzuri na pana la sivyo tutakufa sana, unakutana na shimo sehemu ya kona then kilami chenyewe kama ulimi ukikwepa shimo tu umekutana na gari nyingine buuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Line between life and death

    Bro I have learned something from yo post..thanks but bange mbaya sana hhh Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Armani chicandow

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Khadija Kopa ni exceptional singers

    Timu mondi mnapata shida sana ya kuvipamba vibovu kumamake hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Armani chicandow

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

    Wafungie na miziki ya bongo fleva inayo hubiri ngono. La sivyo kujisumbua tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom