Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,510
- 28,523
Kwani kuna shida?Kwani Urusi mbona nae anapewa misaada na Kiduku na Iran na China
Kwani kuna shida?Kwani Urusi mbona nae anapewa misaada na Kiduku na Iran na China
Article 4 ndiyo inaenda kuanzisha mazungumzo ya kuingia article 5.Mkuu, ni Article 5 ndo inosema mwanachama mmoja akivamiwa kijeshi basi NATO yote ndo wataingia vitani.
Article 4 yaipa nafasi nchi ilojibu mashambulizi yoyote kuita mkutano wa NATO na kujadili kilotokea na kama hayo yalikuwa ni mashambulizi ya kupanga lqkini hakuna ile twaita trigger of military action kama ilivyo Article 5 ambayo ina "collective defense element which triggers military action.
Article 4 yasema hivi: "NATO's Article 4 states: "The parties will consult together whenever, in the opinion of any of them, the territorial integrity, political independence or security of any of the parties is threatened."
Russia tiyari imesema haina nia ya kuishambulia Poland na ilikuwa ikishambulia mji wa Lviv ambao upo karibu na Poland ambayo ililazimika kuzidungua hivyo UAVs zilokuwa enroute kwa Lviv lakini zikaingia kwa bahati mbaya sehemu ndogo tu ya anga la Poland.
Lakini ukisoma statements zao utagundua kuwa wanasema hawakuwa na nia ya kushambulia anga la Poland na kwamba hakuna ushahidi kwamba hizo UAVs ni za Russia.
Ila kwa wafuatiliaji twaona kuwa Russia iko kazini ikizijaribu ADSs za NATO members. kupima uhimilivu au resillience.
Hakuna vita hapo ni malumbano tu.Article 4 ndiyo inaenda kuanzisha mazungumzo ya kuingia article 5.
Sasa unataka watu waanze kupigana vita bila kujadiliana?
Russia hawezi kujirisk hapo.Hakuna vita hapo ni malumbano tu.
NATO watamani sana kupigana na Russia lakini haitatokea.
Kama zimeingia kwenye anga lake ni haki yake kufanya hivyo... Kinachonishangaza ni Poland kutoiadhibu Urusi kwa kukiuka anga lake
Duh Poland hii hii ambayo chini ya miezi miwili ilinyanyua mikono juu dhidi ya wasoviet?Polish huwa ni watu wabishi, hata Soviet Union walipata shida Papa alipochaguliwa John Paul II raia wa Poland, mchakamchaka waliupata maana walizoea kuonea Wakristo na ndio sababu walimpiga risasi bahati nzuri alipona.
Poland ilipigana na Ukraine mwaka 1918 ikashinda, mwaka 1919 ikachokozwa na USSR ya Vladimir Lenin ambayo iliiteka Ukraine kuiunganisha kwenye Soviet Union. Poland ikawafuata kuanzia Kiev ikaenda mpaka Belarus ikawapiga Warusi. Kasome Miracle on the Vistula ambapo dunia ilidhani Poland watapigwa kumbe wapi.
Wakasaini mkataba wa kutambua mpaka ambao Poland walitaka ingawa pia hawakuwa wanataka USSR ikue iunganishe Belarus na Ukraine (waliona changamoto za baadae).
Mwaka 1939 Hitler aliivamia Austria peke yake, Ufaransa peke yake, Belgium peke yake ila kwa Poland aliomba msaada wa USSR nusu Ujerumani ikaivamia na nusu USSR ikaivamia. Ila ingekuwa ni Poland avamiwe na USSR peke yake au Nazi Germany peke yake wangepotezewa sana muda ingawa wangeshinda. Wasovieti walipoteka nusu yao wakawinda kila anayevaa miwani (that time almost kila anayevaa miwani alisoma sana maana walikuwa wanasoma kwenye low light usiku wanapata madhara ya macho, kwahiyo kafika chuo), wakaua wanajeshi, maofisa usalama na watumishi wa umma. Katyn Massacre Wasovieti waliua Wapolish over 20,000. Baadhi walitoroka mmojawapo ni Marian Rejewski aliyegundua njia ya ku-decode Enigma machine vita ile. Mwingine ni General Stanislaw Sosabowski aliongoza majeshi ya Poland yaliyofanikiwa kutoroka kupigana kutokea Uingereza kukomboa nchi yao, alishiriki Operation Market Garden.
Turudi 1939, upande wa Ujerumani walianza kuvamia Danzig kamji ka pwani kanakojitegemea kiutawala sio mamlaka kamili ya Poland ila hiyo vita Polish walivyoivaa utadhani umevamiwa mji mkuu. Ilizuka battle of Westerplatte, Ujerumani ilikuja na ndege 60, melivita mbili na wanajeshi zaidi ya 3,000 ikatumia wiki kupigana na wanajeshi chini ya 300 wa Poland wasio na ndege wala melivita na hawana supply.
Kila wakitumia kitu kinapungua idadi, kila anayejeruhiwa au kufa anapunguza idadi ya wapiganaji, huwezi enda hospitali, huwezi letewa chakula wala dawa, walijichimbia wiki nzima wanapigana na hapo command kutoka makao makuu imekatika wanapigana kichwakichwa.
Na hapo walipigana na ile Ujerumani ya mwanzoni kabisa ambayo ina kila kitu na ina jeshi bora zaidi duniani.
Poland sio watu wazembe vitani hata kidogo, alafu hawatishiwi. Na miaka hii ya 2020s wana massive rearmament wanaunda silaha, kununua kutoka South Korea na Marekani na washirika wengine. Na wameongeza idadi ya active troops kwa sasa ndio nchi ya NATO inayotumia GDP kubwa jeshini.
Sababu kwanini wako hivi? Kipindi ni wanyonge walionewa kila jirani alikuwa mkorofi wakaipoteza Fisrt Polish Republic. Poland mwaka 1025 walikuwa na Ufalme na jina lao hili, baada ya hapo uvamizi, kuungana, kutengana vilifuata.
Umesoma nilichoandika kweli mkuu.Duh Poland hii hii ambayo chini ya miezi miwili ilinyanyua mikono juu dhidi ya wasoviet?
Mkuu nawaza msaada anaoupata Ukraine dhidi ya Urusi angeupata Palestina dhidi ya Israel hivi hali ya Israel ingekuwaje.Kwani Russia ana nini cha maana?
Ukrain kaishindwa leo miaka lukuki
So far Ukraine imepewa msaada wa silaha wenye thamani ya USD billions ngapi kutoka nchi wanachama wa NATO plus mercenaries na mafunzo?
Mkuu nawaza msaada anaoupata Ukraine dhidi ya Urusi angeupata Palestina dhidi ya Israel hivi hali ya Israel ingekuwaje.
Maana NATO, EU na mataifa yote ya magharibi wanatoa msaada wa silaha, kiuchumi na kidiplomasia kwa Ukraine lakini bado Urusi anasonga mbele kuteka maeneo, Leo hii Ukraine haiwezi anzisha counter offensive maana haina tena askari wabaotosha, waliopo ni kupunguza kasi ya Urusi kwa kuzuia mashambulizi (ambao pia hawatoshi), Kazi yao nyingine ni kufanya ugaidi ndani ya ardhi ya Urusi.
Mkuu unavyosema Urusi ni dhaifu mbona USA, NATO naye na vibaraka wake wa Magharibi mbona hawaiachi Ukraine ipambane yenywe bila kutoa msaada wa zana za kijeshi, intelijensia, kidplomasia?Russia , zaidi ya makombora yake ya nuclear, hana chochote cha pekee. Ndiyo maana wataalam wa masuala ya vita, wanasema uwezo wa kijeshi wa Russia ulikuwa exagerated.
Ukraine iliweza kuizuia Russia kuitwaa Kiev bila ya msaada wowote kutoka mataifa ya Ulaya. Misaada ya fedha na silaha imekuja baadaye wakati tayari wanajeshi wa Urusi wakiwa wamefurushwa toka Kiev na kwenda upande wa Mashariki.
Russia imetepeta mpaka kuomba kusaidiwa na North Korea, na wapiganaji binafsi toka India na nchi nyingi za kiarabu.
Urusi katika uwanja wa vita, ni ya kawaida tu.
Military and war experts agree that perceptions of Russia's war capabilities have been exaggerated, particularly concerning its ability to win the war in Ukraine, which has revealed significant weaknesses in its military-industrial base, command structure, and professional units. Key indicators include reliance on Soviet-era equipment, failure to modernize, high casualties, slow territorial gains relative to losses, and a struggle to replace components or build new technologies. These realities contrast with historical Russian military defeats and underscore the impact of sanctions and Ukraine's resolve, challenging the notion of Russia's inevitable victory, according to the Atlantic Counci.
The Russian military has suffered significant losses in personnel and equipment. Its performance has been hindered by a rigid command and control structure, a weakened corps of trained and professional units, and a reliance on tactics that have contributed to high casualty rates.
Russia's invasion of Ukraine had produced “more harm than benefit,” and cited human suffering and the loss of life.
Urusi ni dhaifu sana kwenye uwanja wa vita. Urusi imewahi kutandikwa na Japan, imewahi kutandikwa na Finland, ikasalimu amri.
Russia also suffered defeats, such as during the Russo-Japanese War and the Winter War against Finland.
Umeelewa ulichokiandika?Wazungu wanapenda kuuwana sana bora nilivo zaliwa mwafrika
Sijaelewa nieleweshe weweUmeelewa ulichokiandika?
Naam alipaswa kulipiza 😁😁😁Kama zimeingia kwenye anga lake ni haki yake kufanya hivyo... Kinachonishangaza ni Poland kutoiadhibu Urusi kwa kukiuka anga lake
😁😁😁😁Nilijua utasema wa Poland walivyo wabishi watarusha drone kwenda Russia
Kumbe umekuja na ngojera zako za kila siku,
Bora urudi shambani ujiandae na kilimo cha mwakani sidhani kama kuna mtu humu atakuelewa na uchambuzi wako ulisha jivua credit zote ulizo kuwa unapewa na member wa humu sasa hivi huna tofauti na kipanya
😁Unanifuatilia? Huna kazi za kufanya mbona sikujui mimi.
So ulitaka waziache zipite katika anga lao , kama kweli Poland wame vurugwa na wao watume drone zao zipite ktk anga la RussiaKutoiadhibu vipi wakati wamezidungua? Ndo adhabu ipo hapo. Imenishangaza hadi Poland ana mdindia Mrussi? Mrusi anaanza ku fail sana.
So ulitaka waziache zipite katika anga lao , kama kweli Poland wame vurugwa na wao watume drone zao zipite ktk anga la Russia