Recent content by -ArkadHill

  1. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu hakuna anayefahamu?
  2. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wajuzi wa interview za utumishi naomba kufahamu usaili utakaofanyikia St.joseph university in Tanzania (SJUIT) LAB UB-7 ni campus gani kwa hapa dar?...Engineering campus au health campus?
  3. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sisi wengine mbona bado pangu pakavu...kweli tutafute njia nyingine sa kipato.
  4. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Hope is fading away

    Wewe utaishi milele
  5. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

    We kummer embu tuliza hicho ki-nyeo weekend hii.
  6. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja safi mbande mipeko c new site | njoo umiliki ardhi kwa bei nafuu

    Kampuni yenu imesajiliwa?
  7. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Polepople: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.

    Duh aise ila kuna WaTZ akili hazimo kabisa. Hiv umefikiria kabla ya kuandika?
  8. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    We kimba hivi unatuonaje, huu ndio uzi ilisema utaitetemesha dunia leo?....embu kula vizuri uendelee kunya usjtuletee story za vijiweni humu.
  9. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania True Story: Kutoka kwenye kuongea kithembe na kuguguma guguma Mpaka kuwa Mwalimu Mahiri wa Kwaya

    Umesummarize kabisa kwa uchache kitabu kimoja kilinibadilisha sana kinaitwa "Atomic habits, by James Clear"
  10. -ArkadHill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezaa nje ya ndoa nifanyeje nimweleze wife?

    Mkuu kwa maslahi mapana ya maisha yako sikushauri kabisa umweleze mkeo jambo hilo. Siku utakayo fungua domo lako na kujifanya unampenda sana eti umweleze mpaka siri zako za ndani hilo ndio litakua anguko lako mkuu. Hisia zisikuendeshe sana ukajiona una hatia ili hali hiyo ni damu yako. Kila mtu...
  11. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    NYinyi sijui ni taasisi gani hizo kila kukicha mnakua wa mwisho
  12. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Crdb oyeee
  13. -ArkadHill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

    Know the right time to walk away laasivyo utajikuta unaangukia pua...you still have a life to live mkuu and huwezi jua uwenda hakua chaguo sahihi kwako Mungu amekuepusha.
Back
Top Bottom