Wanajamvi habarini za majukumu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi.
Picha zao zimekuwa...
Pamoja sana mwamba. Naendelea kupambana maana hakuna uchawi kwa mentali hivyo naimani ipo cku milango itafunguka na bahari itakuwa shwari.
Mishe zitapatikana, nitaanza kujitegemea na hatimaye familia itaanzishwa.
Mwaka wa 30 nipo nyumbani. Nimejitahidi sana kutoka home nikaanzishe maisha mengine lakini mahesabu yamegonga mwamba. Naishi kwenye familia ya mzazi mmoja cha ajabu mother hasemi chochote yeye yupo bize na inshu zake. Warembo 3 wamenikimbia kisa kuendelea kwangu kukaa nyumbani. Kila napojaribu...
Betting inahitaji kufanya kazi kwa bidii, coz huwezi kufanya betting kama huna mzunguko wa pesa angalau kuwa na uhakika wa buku 3 na kuendelea kwa siku itakuwa ngumu kuachive.
ukitaka kubeti vizuri hutakiwi kuweka stress kwenye mkeka na stake uliyoweka.
Betting inahitaji records na ufuatiliaji...
Kwanini ulisita? je ni sababu gani ilikufanya husiwe muumini safi iwapo hukuwa na wito wa kipadre? maana watu wengi waliopitia seminari uendelea kuwa karibu na kanisa hata kama walikimbia wito wa kipadre.
sidhani kama kwa hapa bongo kusomea hiyo kitu tunaweza kufikia hizo gharama mkuu
kwani kwa nje ya nchi tu inaweza kuwa around 50 million hivi au isifike kwa kutegemea chuo na chuo ada yake imekaaje.
Angalia usije vunja moyo watu wengine wanaohitaji kusomea hiyo fani maana hata tukipiga mahesabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.