Recent content by Arimatea

  1. A

    Halima Mdee aachiwa huru

    Nadhani kuandamana ni haki ya kiraia! Ila kuwe na organisation kabla ya kuandamana! Suala la Katiba ni suala la kitaifa! Kuna wengi tumehuzunishwa na kuchukizwa na kile kilichotokea katika BMK na baadhi yetu si wanachama wa vyama vya siasa kwani havotuwakilishi wote hususani wale tulio mrengo wa...
  2. A

    LHRC kuchunguza theluthi mbili ya Z’bar

    LHRC nawapongeza kwa kazi zenu! Ila kwa hili la uchunguzi halina tija inabidi mwelekeze nguvu kwenye kuwajengea wananchi uelewa wa katiba pendekezwa ili waweze kufanya uamuzi sahihi wakati wa upigaji wa kura! Mama Bisimba na Sungusia pamoja na Masanja and Co. Its time you guys mpishe watu...
  3. A

    List ya mabilionea waliokatisha masomo yao vyuoni

    Unacho kiongelea mtoa mada si kweli. Hao matajiri walio wengi ni OUTLIERS yaani kinachooneka na kusemwa kwa nje si kweli. Kuna advantage zilizo jificha ndani amabazo wamezitumia ipasavyo. Tafuta kitabu cha GLADWELL kina title hiyo hapo juu ndio utajua waliko anzia. Kuna masuala mazima ya...
  4. A

    Nina elimu na maisha yananipiga, wapi nimejikwaa?

    Kaka pole kwa mwendo huu wa kuandika ELEMU, SIZANI sijui kama kuna kitu unaweza kufanya hapa duniani achilia mbali kujiajiri labda uajiriwe.Habari ya KUTUNZA kondoo hakuna mwenye kondoo atakayekupa utunze kwasababu kondoo wanafugwa. Pia acha kusingizia umesoma mpaka mwisho. Nionavyo mimi...
  5. A

    Watapewa kesi gani?

    Huyo dada hajavaa helmet (kofia ngumu) ndilo kosa lao
  6. A

    Zitto yu wapi Bunge la Bajeti?

    Mamake alikuwa India kwa matibabu. Na alirudi na akawa anaendelea na matibabu nyumbani. Siku tatu zilizopita alizidiwa na kukimbizwa hospitali ambako anaendelea na matibabu. Hali yake c nzuri kwa sasa. Kuhusu kuhudhuria mkutano ni kweli ila kabla mamake hajazidiwa
  7. A

    Zitto yu wapi Bunge la Bajeti?

    Mkuu, Zitto anamuuguza mama yake! Mama ni mgonjwa na amelazwa hospitali. Anahitaji sala zetu kama binadamu wengine! Zitto pia anahitaji support yetu katika kipindi hiki
  8. A

    Ziara ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa mikoa ya Kanda za Magharibi, Ziwa Mashariki

    Kweli mkuu ni mabilioni ya Uswiss yamenunua uongozi wa Chadema! Liissu, Slaa at al!
  9. A

    Ziara ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa mikoa ya Kanda za Magharibi, Ziwa Mashariki

    Msilete story zenu za uzushi! Mimi nipo Kigoma na Benson nimemwona ila hajanusurika kuuwawa ila anashirikiana na polisi pamoja na Usalama toka amefika hapa. Iweje CHADEMA waombe ulinzi kwa waliokuwa wanawaona dhaifu?
  10. A

    Ziara ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa mikoa ya Kanda za Magharibi, Ziwa Mashariki

    Kaka ushaacha kutembea na sumu? Ninachojua mimi ni kuwa kama kaenda Mbeya basi kaenda leo na labda kakodi ndege. Mimi nipo Kigoma wewe mkaanga sumu hapo Ufipa street endelea na propaganda zako. Labda kapanda ungo kwa sababu hata gari binafsi kwa muda niliomuona mimi katika hotel ya MWAKA HILL...
  11. A

    Ziara ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa mikoa ya Kanda za Magharibi, Ziwa Mashariki

    Mkurugenzi wa Oganaizesheni ya mafunzo wa CHADEMA yupo chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa mjini Kigoma. Kigaila ameingia Kigoma toka tarehe 29/11/2013 na mara moja akaripoti kwa aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Aidan Ndowa. Ndowa ni mshirika wa kibiashara na...
  12. A

    Kipindi Nilipokuwa Ikulu (Simulizi za January Makamba)

    So baada ya kutoa ushauri juu ya suala la ardhi Rais wako akaja na SAGCOT! Poor Makamba!
  13. A

    Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

    500 ni kidogo sana kwa idadi ya wanafunzi kwa miaka yote!walimu wamekua fair sana
  14. A

    Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 – Kitimtim Mlimani City leo

    Kiujumla kila mwaka unavyopita kili awards zinazidi kudorora R.I.P Cool James Mtoto wa Dandu ulichokianzisha wapuuzi wachache wanakiua
Back
Top Bottom