Recent content by Arafat Bahdellah

  1. Arafat Bahdellah

    Afya ya maungio ya viungo

    Unaweza wasiliana nami, au unaweza nitumie namba yako nikutafutie
  2. Arafat Bahdellah

    Afya ya maungio ya viungo

  3. Arafat Bahdellah

    Uzazi wa mpango: Kipimo kipi ni sahihi katika kupima idadi ya watoto wa kuwa nao?

    Kama kipimo cha kumudu kulea ni kipato cha muhusika; hapo napo unapimaje? Ambae analipwa laki 3 mfano; anapaswa kuwa na watoto wangapi? anaelipwa laki 7,... na kama hiki ndio kipimo; inamaana wale ambao hawana ajira rasmi hawastahiki kuwa na watoto? Na wale wenye vipato vikubwa; inamaana...
  4. Arafat Bahdellah

    Uzazi wa mpango: Kipimo kipi ni sahihi katika kupima idadi ya watoto wa kuwa nao?

    Mkuu nadhani ni kauli mbiu hii "kuwa na watoto ambao utawamudu kuwalea", hawa hawakuwa straight katika hili kama wewe, "Standard kwa tajiri wa 3, asie na uwezo wa 2" kutokuwa kwao straight ndio msingi wa thread hii... kipimo kipi wanapaswa kutumia walio katika uhusiano ikiwa wanamudu au hawamudu?
  5. Arafat Bahdellah

    Uzazi wa mpango: Kipimo kipi ni sahihi katika kupima idadi ya watoto wa kuwa nao?

    Katika swala la uzazi wa mpango; walio katika mahusiano wanashauriwa kuwa na idadi ya watoto ambao watamudu kuwalea. Kipimo kipi ni sahihi katika kupima idadi sahihi ya watoto wanaopaswa kuwanao? Kipato chao (Fedha), Umri wa wao (wazazi), Tofauti ya umri kati ya mtoto mmoja na anaefuatia...
  6. Arafat Bahdellah

    Siku ya Mwisho / The Last Day - Part 2

    Katika zile dalili kubwa kumi za mwisho za kuashiria ukaribu wa siku ya mwisho/Judgment Day/Qiyamah (Rejea part 1 ikiwa haukupitia), kuna dalili kubwa kadhaa ambazo zimesha jitokeza kulingana na tafsiri/mtazamo, dalili hizo ni; Kuchomoza jua Maghrib na kuzama Mashariki Ujio/Uwepo wa Ant...
  7. Arafat Bahdellah

    Haya Majadiliano ya Makinikia, Mbona Hata Updates Hatupewi?

    Siku chache zilizopita kuli kuwa na taarifa juu ya kuwasili team ya ACACIA kuonana na Serikali kuhusu kujadili deni wanalodaiwa kwa mujibu wa ripoti za kamati mbili zilizoundwa na Mheshimiwa, sijapata update tena... Wale jamaa bado wapo? Mjadala umefikia wapi? Tunalipwa zile pesa au vipi? Mwenye...
  8. Arafat Bahdellah

    Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

    Upande wangu nimekuwa nikibakiwa na maswali tangu haya mambo yalipoanza kuripotiwa, Hao wanaoitwa wahalifu/majambazi na wauwaji - ni sababu ipi haswa iliwapelekwea kuwa na ujasiri wa hadi kufikia kuvamia kituo cha jeshi la polisi na kupora silaha? Ni sababu ipi iliwapa ujasiri wa kuwauwa walinda...
  9. Arafat Bahdellah

    Siku ya Mwisho / The Last Day - Part 1

    Vitabu tofauti vya kiimani vimezungumzia ujio wa mpinga kristo/ the false Masayah /Masihi Dajjar Wasomi wa mambo ya Imani wamekuwa na miono/tafsiri tofauti kuhusu kuja kwake, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu juu ya alama kubwa zinazo ashiria mwisho wa dunia/Qiyamah haswa dalili kubwa kumi kwa...
  10. Arafat Bahdellah

    Msaada wa kupata verification number ya NACTE

    Muda umeongezwa http://www.nacte.go.tz/en/update.php…
  11. Arafat Bahdellah

    Dawa za nguvu za kiume

    Habari wanajamvi, Tatizo ya nguvu za kiume limekuwa likionekana ni tatizo kwa wanaume peke yao kwa muda mrefu kama ambavyo tatizo ya ugumba limekuwa likionekana likiwahusu wanawake peke yao, Nifikiliavyo; wana wake wazembe katika kushiriki ipasavyo tendo la ndoa pia huenda ikawa ni sababu ya...
  12. Arafat Bahdellah

    Hivi inakuwaje mtu na akili zako uvae zombie fashion?

    Habari, Kuna mambo yanaendelea hapa duniani ni yakushangaza kwa wenye kutafakari, Cha kushangaza zaidi ni mambo hayo kukumbatiwa pasi na kuhojiwa, Kunielewa nini ninamaanisha, cheki attachment niliyoiambatanisha (ZOMBIE FASHION), Hivi inakuwaje mtu mwenye akilizake, anafunga safari kwenda...
  13. Arafat Bahdellah

    Kesi ya Kikatiba: Makonda, Sirro na Wambura wakataa kupokea wito wa Mahakama 'summons'

    We shall have a lot of stories to give to our kids, Less wait for another episode of this new series.
Back
Top Bottom