Msaada wa kupata verification number ya NACTE

Vicin

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
676
295
Naombeni msaada.
Nina diploma. nataka kujiunga na degree. Nikiomba verification number Nacte wananiambia database yao hainitambui, Chuo nilichomaliza wameniambia wameshatuma taarifa zangu. Nini cha kufanya? Maana deadline ni leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe ndo ugumu ninaoupata,kibaya zaidi NACTE hawatoi ushirikiano kama vile walianzisha hiki kitu bila kujipanga ,kuna muda ukipiga simu wakipokea wanasema hawajui hiki kitu. Sasa mimi nasubiri vyuo vifungue maombi niombe.

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
 
Naombeni msaada.
Nina diploma. nataka kujiunga na degree. Nikiomba verification number Nacte wananiambia database yao hainitambui, Chuo nilichomaliza wameniambia wameshatuma taarifa zangu. Nini cha kufanya? Maana deadline ni leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia kijana muda umeongezwa...! So fatilia taratibu pila papara ili upate muafaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni msaada.
Nina diploma. nataka kujiunga na degree. Nikiomba verification number Nacte wananiambia database yao hainitambui, Chuo nilichomaliza wameniambia wameshatuma taarifa zangu. Nini cha kufanya? Maana deadline ni leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tatizo n kwamba nacte hawana details zako kutoka chuo ulichotoka hata kama chuon wanasema walishatuma ila kama database haikutambui jibu ndo hilo taarifa zako hazijafka nacte fanya hivi nenda ofis za nacte wewe mwenyew usipige simu wala usitume mtu ili upate uhakika kama tarifa zako zipo uko au la ndo utajua cha kufanya pole sana i understand the feeling!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuapply bila ya hyo namba bro ukifika kipengele cha kusubmit application system inakutaka uingize hyo namba yani tatizo hili hata mimi limenikumba na sitaenda chuo mwaka huu kwa uzembe wa watu.
 
We unataka uaply Vp kama huna verification no....
 
Poleni,,, fanya mawasiliano na nacte. Ama nenda kabisa mwenyewe physically.
 
Back
Top Bottom