Dawa za nguvu za kiume

Jan 15, 2013
77
27
Habari wanajamvi,

Tatizo ya nguvu za kiume limekuwa likionekana ni tatizo kwa wanaume peke yao kwa muda mrefu kama ambavyo tatizo ya ugumba limekuwa likionekana likiwahusu wanawake peke yao,

Nifikiliavyo; wana wake wazembe katika kushiriki ipasavyo tendo la ndoa pia huenda ikawa ni sababu ya mwanaume kutoshiriki tendo la ndoa ipasavyo na hatimae kuonekana kutokuwa na nguvu za kiume kwa upande wa mwanaume ila kumbe ni uzembe wa mtu fulani ulingoni,

Katika tendo la ndoa, mwanamke ni kichochezi na kiungo muhimu katika kufanya fikra za mwanaume zidumu pale na hatimae kuwa na uwezo wa kushiriki vita ipasavyo ila wanawake wazembe ambao hawaonyeshi ushirikiano wowote kwa mwanaume katika kudumisha fikra na hamu ya kushiriki vita, wanapelekea wanaume kutokuwa na hisia za kudumu katika tendo kwa kuboreka na hatimae kuishiwa hamu na baadae kuhukumiwa kutokuwa na nguvu za kiume kumbe ni uzembe tu kichochezi, kwa mfanao; mwanamke ambae yupoyupo tu, yaani kama boksi, hajishughulishi kwa lolote, yaani kafika ulingoni kakaa tu, kila kitu afanye mwanaume, mwanaume apike chai, afue, apige deki, aende kazini, afue nguo, afagie yani kila kazi, kuwa na mwanamke katika ulingo - anaboa. Mwanamke wa namna hii nadhani huenda akamlaume kila mwanaume kutokuwa na nguvu, kumbe kabibwa hajishilikii na hatimae mbeleko inafunguka na akianguka anamlaumu mbebaji.

Taafirifa za kina kuhusu mada hii; Neema Herbalist & Nutrtional Foods Clinic

Ujumbe; Vijana ambao hamjaoa/kuolewa changamkeni, maisha haya ya mwendokasi, stress na bodaboda ni mafupi.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom