Recent content by Appol

  1. Appol

    JamiiForums Tanzania Dunia Ya Wadhambi!!!!!!!

    Hongera sana, Mungu akaonekane katika kazi yako. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Appol

    JamiiForums Tanzania Dhambi kumi zinazotafuna miili yetu

    Umenena sana, ni ukweli mtupu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Appol

    JamiiForums Tanzania Nisome Diploma ipi Kati ya hizi

    Ndio, unaweza kufungua maabara yako ya private na cheti chako pamoja na leseni vikawepo maana diploma ndio ngazi ya mwanzo kusimamia lab, kupanda juu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Appol

    JamiiForums Tanzania Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

    Dah! Mbali sana aiseee, hivi mwalim Felix yupo wapi now? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Appol

    JamiiForums Tanzania Siku ya Vitabu duniani

    Ahsanten sana sana kwa ufafànuzi mzuri kuhusu upenzi na siku ya vitabu duniani. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Appol

    JamiiForums Tanzania Taazia: prof. Immanuel Kilima Bavu hupigi goti kwake kusoma ila atakuacha na elimu ya kudumu

    Ameen,Mungu ampokeee na azidi kumlinda. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Appol

    JamiiForums Tanzania A day in the Buddhist college

    Habari yako Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Appol

    JamiiForums Tanzania The story of my interview failures and lessons learnt

    Mungu awe pamoja nawe ktk lolote zuri ulitimizalo. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Appol

    JamiiForums Tanzania Mungu najua ananitaarifu kuhusu jambo muhimu ila naona simuelewi

    Mkuu hili tatizo mm pia limenikumba....yaan unakuwa na imaginations za matatizo, majanga, magonjwa nk. Ambapo nafsi inaanza kuyadiscuss in reality but in negative effect, ambapo utajikuta unaingiwa na huzuni kubwa kwa kuwa tayari umesha ona kuna hatari kubwa kupitia imagination, ( kuna mifano...
  10. Appol

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa sonona

    Pole sana bro,hiyo ni kawaida sana na hata mm huwa najiuliza sana kwann hiki jaman kinanitokea
  11. Appol

    JamiiForums Tanzania Mawazo haribifu huja wakati ukiwa dhaifu kifikra, kaa chonjo

    Safi sana, nakushukru na barikiwa sana maana I have been liften from various bad believes, Mungu akubariki mpendwa,"chochote chaweza kukupata kwa muda wowote na kwa mazingira ya aina yeyote" hatar sana keep it up bro.
  12. Appol

    JamiiForums Tanzania Masista wa kikatoliki na Elimu

    Ameen
  13. Appol

    JamiiForums Tanzania DAR ES SALAAM POLICE ACADEMY (REG/PWF/032) - Government Temeke Municipal Council - Dar es Salaam

    No hata kama sio askari waweza soma pale kwa kozi ambazo zinawezwa kusomwa na mtu hata ambaye si askari, na chuo hiki kipo chini ya Nacte na med school ipo under wizara
  14. Appol

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu NTA level 5 technician certificate

    Naomba kuchangia wazo, NTA level4 ni certificate kamili ya vyuo vitoavyo fani za mwaka mmoja ukitoa vyuo vya afya,kilimo,ualim na vingine vinavyofanana na kozi hizo ambapo kada za afya,,kilimo na ualim ili uhitimu na uwe na uwezo wa kufanya kazi lazima usome miaka miwili na kupewa cheti chake...
  15. Appol

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu NTA level 5 technician certificate

    Piga one year of foundation then apply chuo chochote ukifaulu
Back
Top Bottom