Recent content by APOSTLE

  1. APOSTLE

    Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

    Mwendo wa kaunda suti za kipaimara na makoti kama mganga wa mvua [emoji56][emoji56] Wapendwa wokovu ni moyoni na rohoni si sura na mavazi kama wengi wadhanivyo,ingawa kuvaa kiheshima ni muhimu Sana kama kioo Cha Yesu[emoji1488]
  2. APOSTLE

    Kuna umuhimu gani wa elimu ya theolojia wakati Roho Mtakatifu yupo?"

    Ulimwengu wa roho ni kitu complex sana, ndio maana theolojia pekee haiwezi kuu-define. Mungu hutoa vipawa na shetani hawezi kutoa vipawa ila huiba vile alivyotoa Mungu na kuvitumia kwa kazi zake(anafanya diversion au kwa lugha rahisi anachepusha vipawa vitumike kwake). Mfano unaweza kuwa...
  3. APOSTLE

    Usichojua kuhusu makanisa ya kiroho

    Tito 1 Maana imempasa askofu awe mkaribishaji, mpenda wema, mwenye kiasi, mwenye haki, mtakatifu, mwenye kudhibiti nafsi yake; akilishika lile neno la imani vile vile kama alivyofundishwa, apate kuweza kuwaonya watu kwa mafundisho yenye uzima, na kuwashinda wenye kupinga. Kwa maana kuna wengi...
  4. APOSTLE

    Kero: Nyimbo za dini sehemu za kazi

    1 Wakorintho 14 6 Hata vitu visivyo na uhai vitoapo sauti, ikiwa ni filimbi, ikiwa ni kinubi, visipotoa sauti zilizo na tofauti, itatambulikanaje ni wimbo gani unaopigwa kwa filimbi au kwa kinubi? 7 Kwa maana baragumu ikitoa sauti isiyojulikana, ni nani atakayejifanya tayari kwa vita? 8 Vivyo...
  5. APOSTLE

    Nini asili ya maneno "Jisaidie na Mungu akusaidie"

    Haya mambo ni ya kujifariji tu,binadamu hana ujanja wowote kama si msaada wa Mungu basi ni giza (shetani),lakini sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu kwanini ujidai una swaga za kujimudu wakati yeye aliyetuumba anao uwezo wa kutuhudumia kwa vyote........ KUMBUKUMBU YA TORATI 28 : 1 Itakuwa...
  6. APOSTLE

    Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

    21 Paulo akasimama katikati yao akasema, naona ya kuwa ninyi ni watu wa kutafakari sana mambo ya dini. 22 Kwa sababu nilipokuwa nikipita huko na huko na kuyaona mambo ya ibada yenu, naliona madhabahu iliyoandikwa maneno haya, KWA MUNGU ASIYEJULIKANA. Basi mimi nawahubirini habari zake yeye...
  7. APOSTLE

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Mapema kabisa Biblia inawashauri vijana kumcha MUNGU tangu ujana wao.Mhubiri 12:1 '' Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. '' Ni muhimu sana kwa kijana kumcha BWANA tangu mapema kabisa...
  8. APOSTLE

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Biblia inaonya kuhusu matokeo mabaya ya kunywa kileo kupita kiasi. Waefeso 5:18 inasema: “Pia, msiwe mkilewa divai, ambayo ina upotovu ndani yake.” Vilevile, Methali 23:20, 21 inahimiza hivi: “Usiwe kati ya watu wanaokunywa divai mno, kati ya watu wanaokula nyama kwa ulafi. Kwa maana mlevi na...
  9. APOSTLE

    Mpoki ukiwa kwenye kipindi cha Ubaoni E-FM unaboa

    Umeongea ki V.I.P sana mkuu though Ema Kapanga anajitahidi lakini angefaa avute soksi zake kuziba gap la Gadna,jamaa show za jioni anazimudu kwa kweli,kule mawingu naye Joji Bantu akaze buti
  10. APOSTLE

    Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

    Hiphop Gospel...Jesus My Lord!!!
  11. APOSTLE

    PJ na Hando wameanza vizuri E-Fm

    Mungu ni mwema alishampumzisha huyu ndugu yetu muda sasa,alikuwa hazina ya Watngazaji wa Kiingereza hapa nchini pia katika kukuza muziki wa Hiphop Asilia.....R.I.P JML Mzee wa Kativiiiiiii
  12. APOSTLE

    Doh! Hawa matapeli hadi wamekuwa kero sasa

    Hivi hawa ukiwafatilia kupitia TCRA huwezi kuwang'ang'ania wakawa fundisho kwenye nyakati hizi za "Hapa Punda afe Mzigo Ufike" za JPM,maana wamenitokezea leo kilofa na sms kama hiyo ila wanaedit kidogo......kenge wa madoadoa wakubwa hawa.......
  13. APOSTLE

    Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    "Aisee wewe unaroho ngumu, mm nina mwezi ss sili wala kulala vzr, kila nikifikiria nilivotifua tope January mwishon nakosa aman kabisa,Sijawahi tembea bila condom mfukon, sijui ilikuwaje nikajikuta sinazo na mzoga ukawa umefia kwa muuza supu the same day,Nikajipa moyo, nikapitia! Yaan sina aman...
Back
Top Bottom