Wakunyumba Official
Member
- Nov 10, 2015
- 40
- 10
Hello, am Mr. KAUGA from RUMION SUPPLIES LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia cv za kuinterview for CUSTOMER CARE(EXECUTIVE) post, CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, salary ni 900,000/=(take home) ukilipwa mshahara wa kwanza utanipa laki 2 kwa kukusaidia, na kabla ya saa 8 mchana leo uwe umetuma Tsh. elfu 30 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali nitakutumia leoleo kwenye email, ntakupigia simu nikitoka kikaoni.