Recent content by Apeche alolo

  1. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Harmonize Alishea Penzi Na Paula Kabla Ya Kajala Masanja, Kitaalamu Imekaaje

    Sanaa imekuja kuwa jambo la hovyo sana siku hizi sana
  2. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Kwaherini JF

    Polle sana mrembo kwa changamoto iliyokufika Mwenyenzi Mungu akupe nguvu usikate tamaa jamani.
  3. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    weka hapa kwa faida ya wengi.
  4. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Pasi kuungua kwa kuyeyuka, tatizo ni nini?

    Made in fujian china
  5. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 23 wafikishwa kizimbani kwa kushiriki mikutano ya kigaidi

    Nchi yangu inaangamia kwa kukosa maarifa.
  6. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Tunakumbushana: Ukitaka Kuyaelewa Maisha yako na umuhimu wake, Tembelea Maeneo Haya Matatu. Please tusijisahau

    Aah mambo gani ya kutishana bwana kwanza maisha mafupi haya.
  7. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Mtwara-Ahukumiwa kwenda jela miaka 18 kwa kusugua uume wake sehemu ya haja kubwa ya mlemavu

    Tobaaa??? ashindweeee Tumekatazwaaaa
  8. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Acha kuover thinking relax mdogo wangu. ukiwa na matatizo usipende kukaa kimya ongea na watu, omba ushauri hii pia husababisa ukiwa na stress sana. NB zingatia mazoezi ya kutembea umbali mrefu kula matunda vitu asili .
  9. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    Nina orde nyingi za mashekh wangu napiga zangu bolt hapa napeleka parcel ni wanakula haswa.
  10. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna Mwanasiasa anavuka Red line soon.

    Huyu msimbe anataka kuttupeleka rafu road mbele naanza kuhisi ukungu.
  11. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna Mwanasiasa anavuka Red line soon.

    Mzee Mwanakijiji njoo huku kuna jambo hapo lumumba hatujaelewa mbona mnatukaripia
  12. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna Mwanasiasa anavuka Red line soon.

    Wa cuba nimeelewa ila vipi cake ya taifa mnataka muile wenyewe?. Tukitakka tupaate cake na sisi mnatuita majina mabaya na mikono yetu mnaichafua kwa mchanga ili tuwe wachafu mbele ya umati tusile, sio sawa kabisa.
  13. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    msimu umeisha kwa ugumu sana sikutamba mbele ya washikaji zangu taambo ziliniisha.
  14. Apeche alolo

    JamiiForums Tanzania Polisi yakamata watu 4 wanaohusika na kifo cha Mchina, Baozhang Ge

    Yule aliyewahi kuuliwa kigogo sambusa mbona wauwaji walishikwa na wametoka wanatamba nje huku hawakukaa hata mwaka. Usiamini show off za jeshi la polisi vitendo vya ufunjifu wa sheria vinafanyika waziwazi, mtu akienda kituoni kutoa taarifa mhusika anakamatwa ukitoka kesho yupo...
Back
Top Bottom