Huwa nakereka sana pale mbunge, tena mtu mzima badala kuongelea musuala ya msingi, anaanza kuongea masuala binafsi, mipasho, na majungu.
Mfano, mtu anakurupuka, "Mh naibu spika tutoe ile sanamu Posta tuweke ya Diamond". Haya nimatope au akili?
Tabia nyingine chafu, utakuta mtu anasimama, " Mh...