Tigo acheni uhuni wa darasa la pili B

Tigo acheni uhuni wa darasa la pili B

View attachment 434416 Hiyo juu ni package ya siku, chini ni ya wiki na ya mwisho ni mwezi.View attachment 434416 View attachment 434416
IMG_20161115_085827.JPG
IMG_20161115_090001.JPG

Mkuu hebu nipe taarifa... hao majamaa yakom vizuri??? Nshahama mitandao mpk nimekoma sasa.
Wako vizuri mkuu Asprin, hasa ukipata line ya mwanachuo inakuwa na low cost.
 
Leo nimepokea ujumbe huu kutoka Tigo. Wameniunganisha kwenye kucheza magemu na wanataka niwe nawalipa TZS.200 per day. Sijaomba waniunganishe na wala mimi sio mpenzi wa games.

Nimejaribu kutuma neno ONDOA kwenye 15302 ujumbe hauendi.
Jamani Tigo tunajua kuwa mmefulia kinoma na mnapunguza wafanyakazi wenu ili kubana matumizi. Tafuteni njia halali za kuongeza mapato yenu badala y kutapeluwa pesa tulizochane
TUWACHENI TUPUMUWE
Waliwahi kuniibia hivyo vodacom wakati fulani. Kila nikiweka salio wanakata. Nikawapigia simu wakasema ni malipo ya game nilizojiunga. Nikawauliza namna ya kujiunga wakasema unatuma neno fulani kwenda 123. Nikashangaa kuwa sijawahi kutuma na wala hayo maujinga huwa sina hobi nayo. Walinichukiza sana.
 
Leo nimepokea ujumbe huu kutoka Tigo. Wameniunganisha kwenye kucheza magemu na wanataka niwe nawalipa TZS.200 per day. Sijaomba waniunganishe na wala mimi sio mpenzi wa games.

Nimejaribu kutuma neno ONDOA kwenye 15302 ujumbe hauendi.
Jamani Tigo tunajua kuwa mmefulia kinoma na mnapunguza wafanyakazi wenu ili kubana matumizi. Tafuteni njia halali za kuongeza mapato yenu badala ya kuwa mnatusukumia shida tusizozitaka.
Sasa mmenipa ratiba nyingine ambayo sikuipanga, ya kutembelea ofisi zenu.
Hii ni gharama kuna nauli na gharama ya muda.
Tafadhali tuacheni tumechoka na wizi wa Taifa Hili, tuna majeraha ya kutapeluwa pesa tulizochanga Kagera na nyie tena mnatuongezea mengine
TUWACHENI TUPUMUWE

Mkuu kingereza chenga et em soma vizuri hapo......

You have successful [HASHTAG]#unsubscribe[/HASHTAG]..........

Maana yake umeondolea na wanakwmbia ili ujiunge tena tuma neno GAME kwnd hyo 15320...............

Sasa unalalamika eti oh umeibiwa kumbe language barrier..........

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Kwani kiingereza ni sifa?
 
Leo nimepokea ujumbe huu kutoka Tigo. Wameniunganisha kwenye kucheza magemu na wanataka niwe nawalipa TZS.200 per day. Sijaomba waniunganishe na wala mimi sio mpenzi wa games.

Nimejaribu kutuma neno ONDOA kwenye 15302 ujumbe hauendi.
Jamani Tigo tunajua kuwa mmefulia kinoma na mnapunguza wafanyakazi wenu ili kubana matumizi. Tafuteni njia halali za kuongeza mapato yenu badala ya kuwa mnatusukumia shida tusizozitaka.
Sasa mmenipa ratiba nyingine ambayo sikuipanga, ya kutembelea ofisi zenu.
Hii ni gharama kuna nauli na gharama ya muda.
Tafadhali tuacheni tumechoka na wizi wa Taifa Hili, tuna majeraha ya kutapeluwa pesa tulizochanga Kagera na nyie tena mnatuongezea mengine
TUWACHENI TUPUMUWE
49f4bcba4a3b60d4748cd6442d07fde0.jpg
 
Hahahaha nilidhani ni mimi peke yangu ninaelalamimikia hii mitandao sana sana. Ni watu wengi wanakatwa bila ufahamu wao. Hivi naweza kuwashtaki huko TCRA na what will be the impact?? Ngoja nikusanye evidence kwanza
 
Kusema ukweli Tigo inaboa sana, sasa ndio usafiri kwenda nje ya Mji ukifika Km 15 toka Mjini simu haina network. Kwa ufupi tigo ni kwa matumiz ya Mjini tu.
Lol....yaani Tigo hata vimanyunyu vikinyesha tu, network kwishei.sasa cjui kwa habari ya mvua za masika!! Tutatumiana barua hakyanan[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
line yangu ya tigo nilishaizika kabisa na nikapanda na mti aina ya mkaribea, ili ule mti ukikua unipe kumbukumbu kuwa pale kuna line ya tigo ilizikwa, hawa jamaa ni zaidi ya bombadier
 
Mimi nishahamia Halotel. Line za mitandao mingine ni kupokea simu,sms na kutuma hela.

NATAKA KUFANYA KITU KAMA HK KITAMBO SANA LAKINI SIMU YANGU LINE MOJA TATIZO.
 
Leo nimepokea ujumbe huu kutoka Tigo. Wameniunganisha kwenye kucheza magemu na wanataka niwe nawalipa TZS.200 per day. Sijaomba waniunganishe na wala mimi sio mpenzi wa games.

Nimejaribu kutuma neno ONDOA kwenye 15302 ujumbe hauendi.
Jamani Tigo tunajua kuwa mmefulia kinoma na mnapunguza wafanyakazi wenu ili kubana matumizi. Tafuteni njia halali za kuongeza mapato yenu badala ya kuwa mnatusukumia shida tusizozitaka.
Sasa mmenipa ratiba nyingine ambayo sikuipanga, ya kutembelea ofisi zenu.
Hii ni gharama kuna nauli na gharama ya muda.
Tafadhali tuacheni tumechoka na wizi wa Taifa Hili, tuna majeraha ya kutapeluwa pesa tulizochanga Kagera na nyie tena mnatuongezea mengine
TUWACHENI TUPUMUWE
Kwani hyo ni ngozi ya mwili kuwa huwezi kuitoa..hama mtandao wapuuzi.sana
 
tigo wamekuwaje sjui huduma mbovu ukiwapigia call centre ahadi zisizona utekelezaji oo tumepeleka idara husika idara husika sjui ndo ipi iyo isiyorudisha majibu nimetuma hela voda. voda wameizuia tigo hawataki nirudishia wiki sasa kila unaempigia idara husika yaelekea ni michezo yao kudhulumu hela za watu
 
Back
Top Bottom