Ipo siku, hili bus litaua watu kwa kweli!

Antony Fereji

Antony Fereji

Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
46
Likes
63
Points
25
Age
32
Antony Fereji

Antony Fereji

Member
Joined Sep 29, 2016
46 63 25
Habari zenu mabibi na mabwana. Natumai mu wazima wa afya.

Nimeamua kuja mbele yenu nikifofia usalama abiria wanaopanda mara nyingi hili bus linalo fahamika kwa jina la SIJALI.

Kila asubuhi naliona hili bus likiondoka kwa mwendo wa kasi bila kujali sheria za usalama barabarani, huku abiria wanao keti siti za mbele wakishangilia kwa nguvu na kumpa mizuka dereva yakuongeza kasi. Na dereva huyu anafahamika kwa jina la Mpambalyoto, huwa hasikilizi abilia wanyuma wanao lalamika kuwa dereva ana unja sheria.

Nilipojaribu kumsogelea askari wa usalama barabarani nakumuuliza kulikoni, mbona huyu dereva anavunja sheria? Akijibu hata yeye hafahamu ni kwanini, kwani dereva Mpambalyoto amekuwa ni mwalimu wa madereva kuwafundisha wenzake wazingatie sheria za usalama barabarani, lakini alipopewa hilo bus tu, amekuwa wa kwanza kuzivunja.

Ukitazama kwa nje, hilo bus ni kuu kuu hivi, matairi yake yanavipara lakini bwana Mpambalyoto analiondoa kwa kasi ya ajabu hasikii ya mtu. Lakini siku za hivi karibuni naona hata wale abiria wa mbele wameacha kumtia mizuka dereva, wanaona hali ya hatari mbele yao, akili imewajia. Abiria wa nyuma wamejawa hofu ya kukata tamaa na maisha yao.
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,088
Likes
4,883
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,088 4,883 280
.....
.....ha ha ha GT hawashikiki
 
nzalendo

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
7,864
Likes
2,744
Points
280
nzalendo

nzalendo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
7,864 2,744 280
Habari zenu mabibi na mabwana. Natumai mu wazima wa afya.

Nimeamua kuja mbele yenu nikifofia usalama abiria wanaopanda mara nyingi hili bus linalo fahamika kwa jina la SIJALI.

Kila asubuhi naliona hili bus likiondoka kwa mwendo wa kasi bila kujali sheria za usalama barabarani, huku abiria wanao keti siti za mbele wakishangilia kwa nguvu na kumpa mizuka dereva yakuongeza kasi. Na dereva huyu anafahamika kwa jina la Mpambalyoto, huwa hasikilizi abilia wanyuma wanao lalamika kuwa dereva ana unja sheria.

Nilipojaribu kumsogelea askari wa usalama barabarani nakumuuliza kulikoni, mbona huyu dereva anavunja sheria? Akijibu hata yeye hafahamu ni kwanini, kwani dereva Mpambalyoto amekuwa ni mwalimu wa madereva kuwafundisha wenzake wazingatie sheria za usalama barabarani, lakini alipopewa hilo bus tu, amekuwa wa kwanza kuzivunja.

Ukitazama kwa nje, hilo bus ni kuu kuu hivi, matairi yake yanavipara lakini bwana Mpambalyoto analiondoa kwa kasi ya ajabu hasikii ya mtu. Lakini siku za hivi karibuni naona hata wale abiria wa mbele wameacha kumtia mizuka dereva, wanaona hali ya hatari mbele yao, akili imewajia. Abiria wa nyuma wamejawa hofu ya kukata tamaa na maisha yao.
Kwa sasa ndani ya basi kuna harufu ya kitu kama kinaungua.
 
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
4,116
Likes
3,637
Points
280
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
4,116 3,637 280
sawa umeeleweka mpambalyoto
 
GIUSEPPE

GIUSEPPE

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Messages
5,319
Likes
5,712
Points
280
GIUSEPPE

GIUSEPPE

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2011
5,319 5,712 280
Habari zenu mabibi na mabwana. Natumai mu wazima wa afya.

Nimeamua kuja mbele yenu nikifofia usalama abiria wanaopanda mara nyingi hili bus linalo fahamika kwa jina la SIJALI.

Kila asubuhi naliona hili bus likiondoka kwa mwendo wa kasi bila kujali sheria za usalama barabarani, huku abiria wanao keti siti za mbele wakishangilia kwa nguvu na kumpa mizuka dereva yakuongeza kasi. Na dereva huyu anafahamika kwa jina la Mpambalyoto, huwa hasikilizi abilia wanyuma wanao lalamika kuwa dereva ana unja sheria.

Nilipojaribu kumsogelea askari wa usalama barabarani nakumuuliza kulikoni, mbona huyu dereva anavunja sheria? Akijibu hata yeye hafahamu ni kwanini, kwani dereva Mpambalyoto amekuwa ni mwalimu wa madereva kuwafundisha wenzake wazingatie sheria za usalama barabarani, lakini alipopewa hilo bus tu, amekuwa wa kwanza kuzivunja.

Ukitazama kwa nje, hilo bus ni kuu kuu hivi, matairi yake yanavipara lakini bwana Mpambalyoto analiondoa kwa kasi ya ajabu hasikii ya mtu. Lakini siku za hivi karibuni naona hata wale abiria wa mbele wameacha kumtia mizuka dereva, wanaona hali ya hatari mbele yao, akili imewajia. Abiria wa nyuma wamejawa hofu ya kukata tamaa na maisha yao.
Kama mtu kaota ndoto tu katiwa ndani, sasa na wewe na hii hadithi yako unafikiri unaweza pona? by the way hadithi nzuri sana
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,439
Likes
18,766
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,439 18,766 280
Dereva asiyeona Mabonde,Zebra, Wala traffic lights barabarani, yeye ni Ku overtake tu ........

"Kuna haja ya kumfanyia uhakiki Dereva Wa basi amegushi leseni ya kuwa dereva yeye ni Utingo"
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,239
Likes
4,017
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,239 4,017 280
Umenikumbusha the beautiful ones are not yet born. Basi lilikuwa engine ya kila crime na offence
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,262
Likes
55,156
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,262 55,156 280
Mpambalyoto ni mjuaji sana na anapenda sifa, anasema ukiangalia vizuri gari lake utaona limekaa vizuri barabarani kuliko mabasi mengine
 
DITOPILE WAPILI

DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Messages
333
Likes
190
Points
60
DITOPILE WAPILI

DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2015
333 190 60
Mpambalyoto kumbe DJ hana hata leseni ya udereva, ndiyo maana ana-change gia angani, mbaya zaidi ni mkwepa kodi na ana madeni kila benki.
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
4,846
Likes
5,750
Points
280
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
4,846 5,750 280
Hahahhhh Mpambalyoto kweli! Wenye uelewa wataipenda hadithi njoo utamu kolea!
 
Super women 2

Super women 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
5,194
Likes
6,332
Points
280
Super women 2

Super women 2

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
5,194 6,332 280
Habari zenu mabibi na mabwana. Natumai mu wazima wa afya.

Nimeamua kuja mbele yenu nikifofia usalama abiria wanaopanda mara nyingi hili bus linalo fahamika kwa jina la SIJALI.

Kila asubuhi naliona hili bus likiondoka kwa mwendo wa kasi bila kujali sheria za usalama barabarani, huku abiria wanao keti siti za mbele wakishangilia kwa nguvu na kumpa mizuka dereva yakuongeza kasi. Na dereva huyu anafahamika kwa jina la Mpambalyoto, huwa hasikilizi abilia wanyuma wanao lalamika kuwa dereva ana unja sheria.

Nilipojaribu kumsogelea askari wa usalama barabarani nakumuuliza kulikoni, mbona huyu dereva anavunja sheria? Akijibu hata yeye hafahamu ni kwanini, kwani dereva Mpambalyoto amekuwa ni mwalimu wa madereva kuwafundisha wenzake wazingatie sheria za usalama barabarani, lakini alipopewa hilo bus tu, amekuwa wa kwanza kuzivunja.

Ukitazama kwa nje, hilo bus ni kuu kuu hivi, matairi yake yanavipara lakini bwana Mpambalyoto analiondoa kwa kasi ya ajabu hasikii ya mtu. Lakini siku za hivi karibuni naona hata wale abiria wa mbele wameacha kumtia mizuka dereva, wanaona hali ya hatari mbele yao, akili imewajia. Abiria wa nyuma wamejawa hofu ya kukata tamaa na maisha yao.
Sio kwa fumbo hiliii
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,791
Likes
15,200
Points
280
Age
35
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,791 15,200 280
Heee! Kumbe na hii ni habari ya kisiasa?
 
mmbangaya

mmbangaya

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Messages
946
Likes
1,347
Points
180
mmbangaya

mmbangaya

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2015
946 1,347 180
Amenichekesha mdau nzalendo eti kwa ndani inasikika harufu ya kitu kama kinaungua. Hii INA maana anaendesha gari ilhali haina Maji au oil? So injini itanock muda wowote.
Ila hili basi linafanya safari zake kutoka wapi kwenda wapi?
Nisije nikawa nimecomment kwenye thread yenye element za kichochozi ila kwani Nina mwiko huo.
 
Forum statistics

Threads 1,273,108
Members 490,297
Posts 30,471,732