Antony Fereji
Member
- Sep 29, 2016
- 46
- 63
Nimeona watu kadhaa wakiuliza sana kuhusu horror movies, hususani majina yake. Hakuna movie nnayo angalia zaidi ya horro movie, Mara mojamoja action movies tena zile kali.
Lakini kama ukiniuliza ni movie gani yenye maudhui yakuogofya (Horror movie) unataka kuangalia na hujawahi kuiona, bila shaka ukitazama hizi, hutajutia.
Kwanza naanza na Horror movies ambazo ni true story.
1.Borderland- movie hii imeigiziwa mandhari ya ki-mexico, ambapo mfanya biashara wa Unga alikuwa anatoa watu kafara kwa kukata viungo vya binadamu kwa ajili ya Mungu wake aitwaye Nganga, alifanya hivi ili asiweze kuonekana na polisi.
Polisi walikuwa wanamuogopa sana. Vijana watatu kutoka Marekani bila kujua litakalowakuta, wanapanga kutembelea Mexico, wanajikuta mikononi mwa tajiri huyu. True story ambayo watu waliuawa na wengine kufungwa.
2.Carnge Park- Hii ni true story iliyotokea miaka ya sabini katika jimbo moja huko Marekani, ambapo mamlaka ilikuja kugundua mafuvu na miili ya watu ktk jangwa moja. Dada mmoja anatekwa ktk Benki moja na majambazi na kuelekea katika jangwa hilo, kilicho wakuta ni hatari tupu.
3.The Hills Have Eyes. Familia ili kuwa inasafiri kupitia jangwa moja katika jimbo la New Mexico, wasijue kwamba ktk jimbo hill wanaishi watu walio athirika na kemikali za mabomu sehemu ambayo jeshi lilikuwa likifanyia zoezi. Walipatwa na kadhia ya ajabu. Hii ni true story.
4. The Texas Chain Saw Massacre- Hii ni true story iliyotokea miaka ya 1930 huko Texas, ambapo vijana walikuwa wakisafiri na kupata ajali, walipoenda kuomba msaada ktk nyumbani moja, taratibu walijikuta katika machinjio ambayo hawakutaraji.
Horror movies nyingine ambazo sio true story, ila zinaweza kukuacha na ombwe la mawazo.
1.The Mist
2.Open Grave
3.The House On The Left
4.Truth Or Die
5.Would You Rather
6.Green Inferno
7.Straw Dogs
8.The Collector
9.The Collection
10.30 Days Of Night
11.Desetario
12.Don't Breath
13.Hell
14.Farmhouse
15.Evil Dead
16.I Spit On Your Grave
17.Horde Zombie
18.Rest Stop
19.The Others
20.Saw
21.Stake Land
22.The Human Centipede
23.Hostel
24.Jug Face
25.The Friday 13th
26.Residence
27.The Neighbour
28.Wrong Turn
29.Purge Anarchy
30.Hollow Click
31.High Tension
32.You Are Next
33.Hush
34.28 Days Later
N.k
Ukiangalia hizi movie, kamwe hutajitia kama wewe unapenda Horror movies.