Recent content by AnthonyGasper

  1. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

    Kwani historia ya Mheshimiwa ishaanza kufundishwa. Je Mheshimiwa day teyari ishakuwa authorized Vipi lile sanamu pendwa Siamini kama wamepandisha vifurushi kabla????
  2. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Simu nzuri kwa gharama ya laki tatu (300k)

    Hivi kweli unaanzaje kununua Oppo sjui infinix
  3. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania The genius family

    Tuchapeni kazi kweli kweli
  4. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa maisha ya Uganda

    Hiyo nauli tu ni mtaji
  5. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Kuna ishara kabla ya kufikwa na mauti

    Sasa ni kupatwa na jambo lisilo la kheri au umauti
  6. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kwa anayejua wapi 'Cheese'/Jibini zinauzwa

    Karibu mkuu, ila nipo mkoani Morogoro. Tunatengeza cheese(Jibini) aina zote na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
  7. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Shahada 4 vs. Akili ya kuzaliwa

    Intellect sio akili mkuu. Pia hakuna mtu ambaye hana akili
  8. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Natafuta pressure washer za car wash kama zile za petrol station

    Uzi mzuri huu
  9. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza kuhusu maisha nikiwa nimeshachelewa

    Nahisi una jambo zuri lakini uandishi wako bado unatatiza.
  10. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa hapa kwenye requirements za TCU na Mzumbe, naomba kueleweshwa

    Hujui unaongea nini kwanini sasa course zipo faculty mbili tofauti na isiwe moja tu.
  11. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa hapa kwenye requirements za TCU na Mzumbe, naomba kueleweshwa

    Lakini pia kama hautaridhika nikuunganishe na watu wanatoa ushauri bure kabisa kuhusu careers mbalimbali wapo Mzumbe kampasi zote.
  12. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa hapa kwenye requirements za TCU na Mzumbe, naomba kueleweshwa

    0652504116. anaitwa Costanstine , mpigie jitambulishe vizuri mueleze haja yako. Ni mtu poa sana atakusaidia jamaa kamaliza BAF.
  13. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa hapa kwenye requirements za TCU na Mzumbe, naomba kueleweshwa

    Dogo kama unataka kusoma hiyo course tulia kwanza tafuta watu wa career hiyo wakupe A, B, C. Ukikosa nambie nikupe namba za Graduates wa hiyo BAF na course nyinginezo za huko SOB Me nimemaliza mwaka huu Mzumbe na bado nipo viunga hivi I'm speaking experience not references.
  14. AnthonyGasper

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa hapa kwenye requirements za TCU na Mzumbe, naomba kueleweshwa

    yaan hesabu ya Baf au Bba ifanane na Bhrm?? Qms 100 na Qms 102 zinafanana kweli we jamaa. Embu kama huna taarifa tulia tu usimpotoshe dogo, tena usije ukamwambia hata ile introductory account ya huko Bhrm na Baf ni sawa.
Back
Top Bottom