Naomba uzoefu wa maisha ya Uganda

Naomba uzoefu wa maisha ya Uganda

Mkuu nina mwaka wa 6 hapa Uganda, kifupi maisha ya huku mazuri ilimradi tu uweze kujishughulisha hela inaonekana, alafu nimeona comment ya member mmoja hapo juu kwamba mademu wa huku sura ngumu kitu ambacho sio kweli, mademu wa huku wazuri wapo wengi tu na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba mademu wa huku hakuna asiye na msambwanda ni kama wanarithishana kila mtu anao ..
Black beauty
 
Kwa kifupi Maisha ya hapa nyumbani yamenichosha nataka kujirelocate sehemu nyingine kama Uganda vile lakini nataka kufahamu kidogo kutoka kwa maxpart wa nchii hii. Gharama zikoje hasa za room za kuishi.
Kajichanganye sehemu panaitwa Nakasero kuna mishe mingi kama kariakoo na maisha ni poa.. Iko Kampala
 
Wanaoponda Uganda ni wale hawapajui vizuri. Kwanza kabisa msosi ni mwingi na bei nafuu. malazi ni maamuzi yako appartment ya 200k standard kabisa maeneo mengi ya kampala, entebbe, jinja nk
Kubwa tu mtoa mada ajue linalompeleka akijichanganya atapotea mazima. Kampala kuna starehe hatari, wanawake wazuri n wenye ushawishi hasa kwa wabongo cz wanajua wabongo wanakuwa vizuri finacially ukijichanganya umepotea.
 
Back
Top Bottom