Recent content by Anthony Threedeyea

  1. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huruma iliyozidi kipimo

    wee jamaa inaonekana unatakamo sio bure!
  2. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno ya kejeli ya mume wangu

    dalili za mvua n mawingu!
  3. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Tanzania Chatu afa baada ya kumeza Nungunungu

    maswali mengine hayana majibu!
  4. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili nimuache lakini asiumie?

    wema kwa ubaya!
  5. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili nimuache lakini asiumie?

    itakusaidia nn hoe??
  6. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedanganya jinsia yangu

    Rudisha pesa yangu asee ntakutafuta iwe kwa mvua au kwa jua mchepuko wangu wa wozap
  7. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu kijana wa jirani nimfanyeje? Kila msichana wa kazi wangu anampa mimba

    duu kumbe laki mbili tyuu mutu anapotezwa??? ila sio fair hukumuvitolewe kwa kosa lake hawa askari wa siku hizi vilaza sasa ukimsingizia kija uhalifu faida ipo wap?
  8. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili nimuache lakini asiumie?

    Habari zenu wakuu, Napenda kujitokeza mbele yenu kuomba ushauri kwa ili suala nalollpitia kwa sasa japokuwa inaweza kuonekana jambo la kawaida kwa wadau wengine hapa ndani. Kwa ufupi nimetokea kupendana na binti mmoja msukuma mwenyeji wa wilaya ya Sengerema kiukweli ni binti mpole, mkarimu na...
  9. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Tanzania Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

    Mwee mleta mada anachuki binafsi huyu jamaa namkubali sana ni mchangamfu na inaonekana sio mbinafsi maana kila anachofanya lazima tushare wote Hongera kaka ktk siku yako ya kuzaliwa mungu akubaliki hata kama wanaponda kwa upande wangu nakupenda sana
  10. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Tanzania Fingerprint za Mke wangu, zimegoma kusoma kwenye BVR

    teh teh teh!
  11. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kumtambua mwanamke mwenye zaidi ya mpenzi mmoja?

    Mambo vipi ma cheif, Napenda kujitokeza mbele zenu hapa kuulizia jambo linalonitatza kwa sasa. Utamtambuaje mpenzi wako kama yupo pia katika mahusiano mengine? NB: Samahani kama nitakua nimemkwaza mtu.
  12. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yeye ni bikira

    ahahahaha imebidi nicheke....
  13. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulikabiliana vipi na maumivu ya kusalitiwa?

    Mwanamke ukijua kucheza nae hawezi kukukmbia hata siku moja jombaa Kitu cha msingi usijioneshe unapenda sana kivileeeeeeeeee!
  14. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa anaonekana kachoka sana hata kabla ya kampeni

    hata mimi nina wasiwasi na huyu bwana itakua mgonjwa anavyotembea kama robot kugeuka mpaka ausishe mwili mzima duu!
  15. Anthony Threedeyea

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    nilimaliza nafasi zote kk za,kuedit....natoa gharama upya?
Back
Top Bottom