Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
kwenye kutoa mapromise ya uongo alikuwa na ujasiri..leo kwenda kumwambia hali halisi anaogopaumeona eeh.. Angemtag ingekua poa zaidi
kwenye kutoa mapromise ya uongo alikuwa na ujasiri..leo kwenda kumwambia hali halisi anaogopaumeona eeh.. Angemtag ingekua poa zaidi
Uliwezaje KUJENGA ushindwe KUBOMOA? Wanaume tumebaki wachache sana!
Ndo hapo sasa. Kwann uahid vitu hovyo hovyo bila kufkiria? Yani inaudhii. Bora tuu mtu ukae kimya kuliko kujitutumua kwenye hamna.Vunja ukimya...
Sema nae
Na hivi kwa nini utoe ahadi ambazo huwezi kutekeleza???
Ndo hapo sasa. Kwann uahid vitu hovyo hovyo bila kufkiria? Yani inaudhii. Bora tuu mtu ukae kimya kuliko kujitutumua kwenye hamna.
mpige gegedo halafu potea na namba ya Simu badilisha.
Imagine angekuwa ni dadako ungemshauri hivyo ulivyoshauri?
Unaposema kuwa kwa sasa huna maisha....unamaanisha kuwa kwa sasa huna UHAI na umeandika haya ukiwa kaburini au ahera...???
Vunja ukimya...
Sema nae
Na hivi kwa nini utoe ahadi ambazo huwezi kutekeleza???
Mtafutie Bwana mwingine umkabidhi kisha ushike njia yako...