Recent content by antendemboga

  1. antendemboga

    CHADEMA yaimarika UDOM

    Safi sana.
  2. antendemboga

    Naomba kuuliza hivi AC ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nini?

    Nimejibu swali na nimetoa uzoefu, ttzo nini? hilo ni dhambi kusema nina gari.
  3. antendemboga

    Wanaoijua vema Cresta gx 100 vvti

    Mkuu hiyo Cresta E GX100 vvti ni gari nzuri kinoma, hutojutia kununua kwanza ni ngumu, pia inatulia barabarani, iko poa sana, ninayo tangu 2013 ni service na tairi tu hkn matatizo ya kijinga, gari ya ukweli sn
  4. antendemboga

    Naomba kuuliza hivi AC ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nini?

    Siyo mjuzi sana, lkn naona ac inaongeza matumizi ya mafuta, nina cresta E GX100 vvti
  5. antendemboga

    TTCL waja na TTCL pesa, nawapongeza kwa hatua hii

    Hongera lkn wasambaze huduma, muhimu sana.
  6. antendemboga

    Viongozi wa CWT wanapaswa kujiuzulu hawana uwezo wa kuwatetea walimu

    Uko sawa kbs, hkn lolote wanalofanya ni sinema tu hiyo.
  7. antendemboga

    Msaada wa kupata application.

    ingia filehippo utazipata
  8. antendemboga

    Msaada: Tofauti ya Toyota Cresta Gx100 vs Toyota Cresta E-Gx100 vvti

    Naomba msaada wadau, ili nipate tofauti ya aina mbili hizo za magari?
  9. antendemboga

    Nitumie app gani kuprint document?

    Naomba ushauri nitumie app gani? ili niweze ku-print document moja kwa moja kutoka kwenye simu Samsung S4?
  10. antendemboga

    Donald Trump kukabidhiwa Ikulu ya Marekani leo.

    they have shown true democracy!
Back
Top Bottom