Naomba kuuliza hivi AC ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nini?

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,165
2,000
Naomba kuuliza hivi ac ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nn?msaada wanajamvi
Inatumia mafuta ila siyo moja kwa moja. AC inendeshwa na crackshaft ambayo ndiyo inayokula mafuta yako, ukiwa makini sana utagundua kuwa kila ukiwasha AC gari lako hubadili muungurumo kidogo kwa sababu huanza kunywa mafuta mengi kuiwezesha crackshaft iendeshe gari na vile vile kuendesha Ac yako.
 
Tabash yamashta

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
274
250
A/C nikijimtambo kilichopo pembeni mwa injini, na ili kifanye kazi ni lazima kizungushwe, ...kinazungushwa na nini?* Ili iwe katk mzunguko kuna belt ilie valishwa kutoka ktk pul ya njin had ktk kijimtambo hicho,pindi tu! uwashapo gari lako !!" kijimtamba hicho huzunguka ktk hali ya uwepesi sana muda wote wa njin kuunguruma,, pia pale tu! ...unapo taka hewa ndani ya gari lako?* inakulazim Ubonyeze kitufe au swich ilie andikwa A/C,, hiki kitufe kinatumia umeme wa gari aina ya DC, moja kwa moja hadi kwenye kimtambo kile cha A/C ...hapo ndipo kuna Lock swich .yaani on & off ,ambapo ukibonyeza kule ndani ...ili kile kimtambo kifanye kazi na kule chini kunajiunganisha ,hapo ndipo mzigo unaongezeka ktk njini, Nisawa na gari uipe mzigo, au ikiwa inapanda kiliman,, Nilazima gari iwe nzito na kubadili mlio kua mzito, Na ndivyo ulaji wa mafuta huongezeka, NISAMEHEMI KW UJUMBE MREFU, JAPO KWA FAIDA nawatakia kion njema wa Jf bay
 
Lubebenamawe

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,344

AC ya gari inatumia umeme Wa gari . unaweza ukawasha Ac ya gari pasipo injini ya gari ikiwa imewaka hapo inakuwa inatumia umeme kutoka kwenye betri. Ila ukifanya hivyo betri yaweza kuishiwa chaji. Kwa hiyo ukiwasha gari AC itaanza kutumia umeme toka kwenye alternator ambayo ndiyo hufua umeme Wa gari. Kadri alternator inahitajika kufua umeme kiwango cha matumizi ya mafuta huongezeka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom