Recent content by ANOTHER PLANET

  1. A

    JamiiForums Tanzania Account gani ya bank itatunza pesa zangu mpaka 2020 bila ku-draw??

    KWA HIYO A/C YA DHAHABU, RIBA YAKE NI KIASI GANI KWA MWAKA?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Account gani ya bank itatunza pesa zangu mpaka 2020 bila ku-draw??

    INTEREST YAKE NI ASILIMIA NGAPI?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    share rates zao
  4. A

    JamiiForums Tanzania Picha za Muscat Airport, zinazoitwa New Julius Nyerere International Airport(JNIA) - Dar

    weka hizo picha, inawezekana wewe ndo unapotosha
  5. A

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Counterpart nimecheki epsod ya kwanza, ni nzuri
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni mahala salama sana pa kuishi

    Wanasiasa wanajaribu tu kututisha na kutengeneza taharuki miongoni mwetu, ila Tanzania ni shwari kabisa huku kitaa tunafurahia tu maisha.
  7. A

    JamiiForums Tanzania SOLD: OFFER!! Jipatie TV's za kisasa kwanzia 190,000Tshs. Free Delivery

    na kwasisi wa mikoani utaratibu ukoje?!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Polisi Moshi yazuia jeneza la mwili wa Ndesamburo kupitishwa barabarani

    na kwanini wanataka kuutembeza mwli wa marehemu? apumzishe tu mzee wa watu...............hizi drama tumezichoka.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wozah wozah piga kelele kwa halotel

    Acheni tu Halotel iitwe Halotel, wengine endeleeni tu kujazana.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Manara: Jumanne Nabutua, wanachama wetu watulie

    kwani Simba kwenye FA si alipenya kwa inshu kama hii, "what comes around, goes around"
  11. A

    JamiiForums Tanzania Manara: Jumanne Nabutua, wanachama wetu watulie

    ili kubalance mambo Simba nayo inabidi ijitoe kwenye kombe la FA kwasababu inshu yao ilikuwa kama hii na hukumu inafanana.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Mbona mmeshindwa kuzaa na Museveni?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awabane Azam Media watoe video ya Lyonvs Kagera Sugar kama kipengele cha Mkataba na TFF

    Mpira unachezwa uwanjani na wala sio mezani kama Simba wanavyotaka kufanya.
Back
Top Bottom