Binafsi Nina degree moja ya social science, inatosha kabisa na sion sababu ya kuendelea na masters PhD . hela yakuendea masters au PhD bora nianze kujifunza uwekezaj
Uzuzu huo hakuna andiko lolote kwenye dini wala serikalin, hiyo ni private issue : ni maamuz ya wanandoa wenyew, na unakoenda utauliza hata style shame on you
Wala c wez mlaum conte kwa case ya Costa, conte kama manager wa club yuko sahih, tatzo c uchezaj ila mnasahaubusumbufu wake mwaka Jana akitaka kuondoka. Sasa hi ni tabia mbaya ulaya c Africa ukiwa na mkataba ukaanza kuleta kibri haijalish kipaji chako. Akipigiwa magoti ataambukiza ujinga kwa...
Kuwa na msimamo kwenye maisha, tatzo wabongo tunakalili maisha, c waajiriwa ndo wananafasi ya kufanikiwa katka maisha, mtoa post ajiulize hakuna darsa LA saba waliomzid kimafanikio ya kimaisha, mwisho Mkuu kama unampenda oa mupange mipango ya maisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.