Swali kwa wanawake, yupi mwanaume bora, mwenye kuongeza mke wa pili au mwenye kuchepuka?

Ni Kweli mamy, wao wanatumia kigezo cha dini lakinii inauma mnoo. Hamna mwanamke anaependa kuona mumewe ana mwanamke mwingine
Ni kweli sakayo! ila mdau anauliza lipi bora? uislamu unajua kama inauma lakini ndio tayari imebidi iwe hivyo. pole pole tutaelewa
 
Sasa emmyta utaishi kwa kufuata walio wengi au utaishi kwa kufuata usahihi wa jambo? mimi nimepewa ruhusa tena alitaka nimuoe rafiki yake haswa kwa kuwa anamuonea huruma muda mrefu hajaolewa na umri unamuacha na amecheza nae tangu wadogo. hii kitu ipo tu na nahisi ndio bora kuliko kuchepuka

Lakini usisahau kuna ambao wana wake zaidi ya hao lakini kuchepuka bado wanako.

Pia hongera kwa huyo aliyekupa ruhusa kwa sababu wenye mioyo kama huo wake ni wa kuhesabu.
 
Ngoja niwajibie WANAWAKE hili swali....wanawake wanaona ni bora mumewe kuchepuka kuliko KUOA MKE WA PILI...maana akichepuka anajuwa MUMEWE ATARUDI HOME TU hata iwe SAA NANE ZA USIKU ...ila KUOA MKE WA PILI inabidi MKE AKUBALI SHARE YA KILA KITU...kuanzia MAPENZI.....MALI...SHIDA nk..na SIKU ZOTE mke MDOGO ndy ANAYEPENDWA kuliko mke MKUBWA......

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom