B.Fernandes: Mtanzania aliyekataa mshahara wa Mil 425 marekani arejea Tz

Mtanzania au mhindi?
Wahindi ni Kama kabila hakuna kitu huwa kinaniudhi mtu kujiita muhindi au mwarabu au mpemba mbona watanzania huwa hatuitwi kwa makabila yetu? Unakuta hata Waandishi wa habari wakiandika utasikia mtanzania mwenye asili Ya kihindi Au kiarabu ikifika kwa waswahili hawaandiki mtanzania mwenye asili Ya kichaga au kinyamwezi. Huyo ni mtanzania inatosha
 
Mtanzania au mhindi?
Wahindi ni Kama kabila hakuna kitu huwa kinaniudhi mtu kujiita muhindi au mwarabu au mpemba mbona watanzania huwa hatuitwi kwa makabila yetu? Unakuta hata Waandishi wa habari wakiandika utasikia mtanzania mwenye asili Ya kihindi Au kiarabu ikifika kwa waswahili hawaandiki mtanzania mwenye asili Ya kichaga au kinyamwezi. Huyo ni mtanzania inatosha
 
Ana malengo yake. Vlevle hawa wahindi wana issues nyingi za maisha. Wako vzur.

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Wazazi wake wote ni wachungaji, pia wana kanisa na wanamiliki television ya ATN, maeneo ya mbezi beach Jogoo! DSM
huyo sio mtoto wa mmiliki wa atn. niliwahi kusikia akihojiwa tv1 akasema anatokea tanga

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
huyo sio mtoto wa mmiliki wa atn. niliwahi kusikia akihojiwa tv1 akasema anatokea tanga

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Duh, sawa mkuu Ila unakanusha alichokueleza muhusika mwenyewe kwamba ni mtoto wa mchungaji. So huenda wewe unajua zaidi
 
Huyu lazima kwao wana kampuni. Si mnaona hata asili yake. Anakuja kutumikia kampuni yao na si Tanzania.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Tunamkalibisha aje awe chini ya kilaza bashite

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Masharti ya Scholarship yake ni kurudi na kufanya kazi barani kwao Afrika kwa angalau miaka miwili (2).

Sent from my SM-J200G using JamiiForums mobile app
Sio hivyo tuu, Trump kabana viza za H1B mpaka kwa watu wa IT na healthcare hivyo hasingeweza kuajiriwa baada ya ile viza yake ya working experience kuisha muda wake. Si awe mkweli tuu
 
Ukitoka Silcon valley haiwezi kukuletea wazo la kuajiriwa ..ukimsikiliza vizuri unajua kabisa kabisa wapi anaelekea.

Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
 
Masharti ya Scholarship yake ni kurudi na kufanya kazi barani kwao Afrika kwa angalau miaka miwili (2).

Sent from my SM-J200G using JamiiForums mobile app
halaf kajamaa kalikuwa kana taka kakusanye kijiji ili katoke font fedi

ndio wasomi wetu hawa waongo waongo tu.
 
Huko 4 ways na The Gavana ni wapi jamani? Utu uzima huu unanitoa kwenye game.
Watu wazima ndio wazuri...japo wengi hampigi game fresh sababu wengi mna kisukari, ila mnahaonga vizuri.
4 Ways iko barabara ya Biafra hii ya chini ambayo ukinyoosha nayo unatokea Leaders Club.
Ukiwa unashuka na hiyo barabara, 4 Ways iko upande wa kulia, The Gavana iko upande wa kushoto....zinatazamana.
Hiyo 4ways iko wapi?
Barabara ya Biafra kama unatokea Morocco huku, kushoto unashuka nayo mpaka kule chini, utaikuta 4 Ways
 
Mhhhhj

Education is the most powerful weapon which you can use to change the world.
By Nelson Mandela
 
Jamaa kawa mzalendo Ila Najiuliza Hivi alisomeshwa na serikali au wazazi wake Ndo walihusika zaidi

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
mibongo sijui tukoje..
baadae tukiumwa magonjwa ya ajab mnakimbilia hospitali mnaambiwa matibabu India tunalialia,,kumbe wasomi wakikataa kufanya kazi nje mnawadharau mara hawana akili mara elimu haijawakomboa..crap..
 
Wengi humu mnatokwa na mapovu ilhali hamjui hata chembe ya maisha huko Ughaibuni. Inasikitisha kuona bado kuna mijitu mizima ina ndoto za kwenda Ughaibuni.

Huyo dogo alisoma Stanford....alifanya kazi katika taasisi ya Bill & Melinda Gates . Wengi wenu hamjui hata hiyo ni nini!
Hayo maamuzi aliyofanya kurudi Tanzania natumaini ni ya busara na msingi kwake. Nyie ni nani mpaka mumpangie mtu maisha iwapo maisha yenu tu mpaka leo ni kitendawili kupata milo miwili kwa siku. Mnaleta ujuaji kwenye mitandao kwa simu za kukodisha.

Tafuteni articles za huyo kijana ili mumfahamu vyema na uwezo wake wa kitaaluma na akili. Amefanya mambo makubwa kwa umri mdogo aliokuwa nao.
Endeleeni kutokwa mapovu na kuleta siasa katika maisha ya watu.
Mo Dewji alisoma Georgetown....alikuwa na uwezo wa kupata kazi nzuri popote duniani. Alikataa kuajiriwa akarudi nyumbani Tanzania....Look at him now!
Sasa mbona umekasirika!
 
Back
Top Bottom