Jesus Christ eheee, umepeleleza vizuri familia mnayotaka kuoa hiyo?
Sisi tunaamini kwamba masuala ya kondoo uhusisha tambiko, lakin kwetu sisi wenye dini zaid tunaamini hayo ya kutambikia yaliisha zamani tokea mwana wa Mungu Yesu Kristo alipowekwa msalabani na kumwaga damu pale (INRI)...
Hapo umeongea suala la msingi,mi nimesoma shule moja ya kanisa hapo Dar es salaam sitaitaja ni wasichana pekee ila walimu watokanao na dini ile ile walikuwa hawaendani na dini yao inahasa nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.