Recent content by Ankra

  1. A

    Biashara ya Uber, Bolt

    Mkuu vipi kuhusu new model spacio cc 1500 itafaa kwenye fuel consumption na nauli iliyopangwa kwa route moja mfano 10km Unaweza kujiunga kwa na apps zote za tax online mfano uwe na uber bolt taxfy kwenye gari moja Dereva ni mgeni kwenye hii biashara ya tax mtandaoni, jaribu kutoa mbinu za...
  2. A

    Ushauri wa kitaalamu samsung A32 au Redmi Note 10

    Nashukuru mkuu kwa maelezo mazuri
  3. A

    Ushauri wa kitaalamu samsung A32 au Redmi Note 10

    Mkuu nje ya mada kidogo kati ya galaxy note 10+ na iPhone xs max ipi itakuwa vizur kwa matumizi ya miaka miwili au mitatu mbele na updates zitakuwaje
  4. A

    Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

    Nilikuwa nataka simu ya pili tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

    Madukan inaanzia 450k tembelea madukani usiangalie sana bei za istagram ila kama utaagiza inaweza kupungua zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

    Nilichukua xiaomi redmi note 8 kuna mdau alinishauri huko juu anaitwa thesym Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    Ipi simu nzuri kati ya Samsung m31 na i Phone 7 plus

    Kama upo dar we nenda madukan kko utaipata kuanzia 450k ila kama una uwezo wa kuagiza itakuwa chini ya hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    Ipi Samsung nzuri zaidi katika Samsung Note Series?

    Acha na bei za instagram zitakuchanganya na utakata tamaa kipindi nanunua ilikuwa hadi 1.2M jaribu kutembelea madukani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    Ipi simu nzuri kati ya Samsung m31 na i Phone 7 plus

    Nashauri tu kama huna tatizo na majina ya simu chukua xiaomi redmi note 8 ni nzuri ina performance nzuri, good display inakaa na chaji na camera ipo poa. Hii simu ndo naitumia kuna mdau alinishauri humu humu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    Ipi Samsung nzuri zaidi katika Samsung Note Series?

    Niliipata kwa 900k mkuu ilikuwa mwaka jana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    Ipi Samsung nzuri zaidi katika Samsung Note Series?

    Asante sana nilipata s9 plus ilikuwa bei nafuu kuliko note 9 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

    Sawa mkuu nimekuelewa hapo, kwa bajeti ya kuanzia 350k hadi 480k naomba ulist simu zenye uwezo mzuri ila usiiweke Samsung tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

    Infinix hot 9 na Tecno camon 15 ni ipi simu nzuri kati ya hizo kuzingatia performance, camera, display na ugumu wa body zote ziwe na internal memory 64GB 4GB RAM. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nasikia anavumiliwa hadi mwisho wa msimu halafu kuna uwezekano wa kumrudisha pep Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    Ipi Samsung nzuri zaidi katika Samsung Note Series?

    Chief-Mkwawa, Nashukuru kwa maelezo mazuri
Back
Top Bottom