Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

Hizo simu ni za kampuni ya Transion Holdings pamoja na itel na oraimo accessories manufacturer
 
Hamna exynos inachoizidi SD.

Kuna test nilikuwa naangalia leo, Ilikuwa ni battery drainage test kati ya S20 plus yenye SD na yenye Exynos.

Believe it or not, s20 plus yenye exynos ilizima saa moja kabla ya s20 plus yenye SD. Yaani zimepishana saa moja kuisha charge.
Mara ya mwisho Exynos kui outperform SD ilikua exynos chip iliyotumika kwenye S7 Edge mwaka 2016.

Samsung Galaxy[emoji93]
 
Tecno wanafeli wapi yaani hata hii simu imezidi simu za Tecno nyingi kinyama
Screenshot_20200515-141551.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tecno wana middlemen wengi sana nahsi ili wapate faida inahtaji sasa watengeneza simu ya walau elfu 80, ukijaiuza kwakupita kwa middlemen basi unaikuta laki 4

Dumelang
 
Chip za exynos ni nzuri lakini bado snapdragon ni nzuri zaidi.

Kuna reviews zilionyesha Samsung S20 yenye snapdragon inaizidi Samsung S20 yenye exynos.

Yaani Samsung S20(snapdragon) vs Samsung S20(exynos) simu mbili tofauti bei moja.
Utagunduaje simu ina snapdragon?
 
Hivi hakuna aliyetumia REDMI 8A hapa? nimeona tigo wanauza 299,000 bei ambayo ni karibu sawa na SUMSUNG A10s inayouzwa 290,000 sokoni kwa sasa.
Nimeona spec nyingi zinafanana isipokuwa kwenye battery A10S ni 4000 mAh na REDMI 8A ni 5000.
Nimetumia SUMSUNG A10s nimeona ana tabia fulani fulani za TECNO ambazo sijazipenda "camera isn't responding, do you want to close it? YES, NO, WAIT". Na kuna wakati ukifungua camera inajiclose yenyewe.
 
Kwa mimi nnavyoona A10s kwa kuwa inatumia chipset za MediaTek ndio maana unakuta ina behave hivyo kwakuwa ndio chipset ambazo Tecno na infinix zinatumia mimi nimetumia Samsung A10 ambayo ni low end ila ina chipset ya exynos lakini haijawai kutoa errors kama hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom