Ipi simu nzuri kati ya Samsung m31 na i Phone 7 plus

project planner

JF-Expert Member
Jul 8, 2019
671
1,000
Habari wakuu natumaini mu wazima poleni na mapambano ya Korona niende kwenye mada Kati ya hizi simu mbili Samsung m31 na iPhone 7 ipi ni nzuri zaidi? katika nyanza zote muhimu maana naona Bei zake Kama zinaendana nataka moja Kati ya hii.
 
Ankra

Member
Feb 5, 2015
13
45
Nashauri tu kama huna tatizo na majina ya simu chukua xiaomi redmi note 8 ni nzuri ina performance nzuri, good display inakaa na chaji na camera ipo poa. Hii simu ndo naitumia kuna mdau alinishauri humu humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tish

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
310
250
Habari wakuu natumaini mu wazima poleni na mapambano ya Korona niende kwenye mada Kati ya hizi simu mbili Samsung m31 na iPhone 7 ipi ni nzuri zaidi? katika nyanza zote muhimu maana naona Bei zake Kama zinaendana nataka moja Kati ya hii.
Kwa hizo mbili kama bei moja nenda kwenye m31 ina kioo kizuri battery inakaa na charge zaidi kwenye speed inaweza kuwa tofauti ndogo nadhani hiyo iPhone 7 imepeta updated latest ya apple a13. Kama unapenda ma game nenda kwa iPhone ila nadhani hiyo update ya a13 ililalamiliwa kuwa inapunguza uwezo wa kutunza charge kwa iPhone 6 ,7 sidhani kama wali solve. Ila kama unapenda multimedia nenda kwa m31 inakaa zaidi na charge ni latest android 10 kioo kikubwa kizuri camera nzuri nk.

Samsung galaxy note 3 snapdragon
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
16,180
2,000

ndio maana nikamshauri achukue hiyo m31,maana tukiweka silaha chini iphone 7 haitii mguu hapo kwa kila kitu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom