Recent content by ANKOTATA

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu biashara yangu ya Duka

    Kama mauzo,Kwa siku n laki moja chukua elfu 10, na kama laki mbili chukua 20, Nafikiri hilo n duka la bidhaa za rejareja. Kwa kawaida maduka ya rejareja, faida Kwa cku ni 10%,ya mauzo Kwa siku.. So kama umeuza 50, faida elfu 5,. Kila la heri .
  2. A

    JamiiForums Tanzania Viongozi nilikuwa naulizia centre makini kwa form 5,6 one year please naombeni ideas zenu wakuu.

    Unataka kusoma mchepuo upi? Je we uko mkoa gani? Toa maelezo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

    Kuna wezi wengine wa escrow walitaka kurudisha hela walizoiba,lkn zilikataliwa,na mpaka Leo wanapeta mjengoni. Hii n chuki ya dhahiri na double standard. Ufisadi wa 2008,ndio unakumbukwa lkn wa juzi tu haukumbukwi?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kama kweli mkoloni apaswa kulaumiwa kwa umasikini wa Afrika, basi Liberia na Ethiopia zingekuwa "Developed countries"!

    Ukoloni haujawahi kwisha Africa. "Colonialism created Neo_colonialism in Africa" .F.Fanoon. Ukoloni mamboleo ulianza pale tu old colonialism ilipoishia. Ucoloni mamboleo ni mbaya sana kuliko old colonialism.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jana nimezichapa kavukavu na rafiki yangu

    Uandish wako huu? Calm down.Umemuoa? Kama umemuoa sawa,unaweza kulalama kama unavyofanya sasa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Siamini tena wanawake wapole

    Wanyaturu,wanyeramba,hua wana viburi sana,na ni wahuni. Ukiwaangalia tu Kwa harakaharaka,unaeza sema wapole, wenye maadili lakin hapana. Mi nimeoa Singida,nawajua kiasi. Hawa ni shemeji zangu. Wengi wao,tabia zao zimechangiwa na malezi ya hovyo wapatayo kutoka Kwa wazazi. Wengi hawana hofu ya...
Back
Top Bottom