Hii miziki japokua ilikua ikionekana kupigwa na wahuni lakini walikua smart kwa lugha ya matusi hawakua wakitukana kama wa singeli. walitumia tafsida ya hali ya juu katika nyimbo zao.
Rejea wimbo wa Maswala kunesa, Maswala kubembea. huwezi jua maana ya huu wimbo mpaka utafsiriwe, na hii ndio...
Haswaa injini itakua imechoka. tatizo kama hilo limenitokea, gari inachemsha hatari, nikapigwa hela mara rejeta, mara fan, mara gasket, mwisho fundi akaniambia nibadili jiko jipya hapa ndio najichanga ninunue jipya pia bliza ilikua inatoa sana.
Hii ya kujaa ndio naisikia. Ni hivi hizi machine zinawekewaga sales limit yaani unawekewa may be million mia. Sasa ukiuza ukifikia hicho kikomo hutoweza endelea ku punch na si kua hutoweza kutumia tena hiyo machine bali utaenda kwa dealer ataweka limit nyingine na utaendelea ku punch kama kawaida.
Afu ukimiliki gari kimeo yaani unakua mtu wa mizinga tu kila mtu unampiga kizinga yaani mtu wa kudaiwadaiwa tu. Mpaka washkaji wanakukataa. Speaking from experience.