Recent content by Anibariki Anyisitse Sanga

  1. A

    JamiiForums Tanzania Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

    Hapo umefanya vema kutoa contact zenu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

    Wapi unapatikana na contact ziko wapi mkuuu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Umri unaenda sina ninachomiliki

    Hahaha pole ila usikate tamaaa maisha ni safari ndefu, na utakacho pata kitakuwa chako haswa siyo vile vya "daddy gave me" unajua eeeh, halafu familia ni factor kubwa japo siyo validy kivile labda kama una wadogo home unasaidia kuwa somesha au kutunza wazazi nk!! Kikubwa komaaa mali inatafutwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakubwa wakiambiwa ukweli wanakimbilia kukuchunguza uraia wako?

    Hahahahaaah Sumbawanga!!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu alijaribu kubinafisisha Mbuga ya Wanyama ya Katavi kwa Wamarekani

    Binafsi sioni kama tatizo ni Nyalandu au mtanzania yeyote yule, shida hapa iko kwenye katiba yaani sheria mama haibainishi nini cha kufanya na nani, chukulia mfano tu rais akiingia madarakani ana unda baraza la mawaziri ni sawakuwa ni moja ya jukumu lake lkn kuna sheria inayo mtaka baraza liwe...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekopa hela ili nilipe mahari lakini sasa binti anasema amepata mtu mwingine

    Yaani wewe ni mpuuzi kweli, sasa je rudisha hela ya watu uliyo kopa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Water supply and sanitationa authorities

    Come strugglebon your own dont rely on somebody's help
  8. A

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Natamani siku tuje tuwe na group la whatsapp la chelsea fans globally lkn siyo mbaya tukianzua hapa nyumbani
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

    Duuu hiyo picha jamani hata uchafu nao unawasha au anataka kufuga rasta bondeni duuu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kama una-upara na unakupa tabu pitia hapa.

    Hapo unaleta biashara hizo dawa zenu hizo!! Sasa kwann mtu uhangaike na Indulekha wakati kuna njia za kisasa
  11. A

    JamiiForums Tanzania Makinikia: Tukilipwa Mil.500 badala ya Trl. 425 kuna watu watashangilia

    Sasa sijakuelewa hapo nyie wenye akili mlio ona kitu gani? Kwa co chair wa barrick atakuja kwenye majadiliano au mliona nn hawa watu wenye akili bwana noma kweli!!
Back
Top Bottom