Ndugu zanguni nimeona niwaite kando ili tuweze kusaidiana na kuyajenga katika maswahibu haya ya upara.
Kuna mafuta yanaitwa
INDULEKHA yanasifika kwa kusaidia kuimarisha na kurudisha nywele zinazokatika au zinazotakakupotea au zilizopotea jinsia zote kike na kiume inafanya kazi.
Mafuta haya yanapatikana katika ujazo wa ml 100 na kuendelea.
Mimi nmepata bahati ya kuyapata na nimeanza yatumia pia thats why nimeona nisiwabanie taarifa.
Kwa wale wote wenye interest unaweza ukaweka order yako hapa au uka ni pm.
BEI NI KAMA IFUATAVYO
1. Chupa moja ml 100 itauzwa kwa Tsh. 20,000
2. Chupa mbili zenye jumla ya ml 200 zitauzwa sh. 39000
3. Chupa tatu za jumla ml 300 zitauzwa kwa sh. 58,000.
Mafuta haya yamewasaidia wengi ..nafikiri hautasita kuyajaribu.
Ni hayo tu.