Recent content by angelique jolie

  1. A

    JamiiForums Tanzania Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    mkuu nimekugongea like ya kimyakmya maana umegusa penyewe
  2. A

    JamiiForums Tanzania Gharama za kusoma masters vyuo vya Tanzania

    mkuu, una uhakika?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

    mkuu naona unataka kunisababishia burn, ngoja ninyamaze tu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

    mtoa mada sio kichaa, bila shaka ana ushahd na kitu anachokizungumza, huwezi kumfundisha mtu ukakamavu kwa kumnyima ruhusa ya kwenda hospitali, ni nidhamu gani unayomfundsha mtu kwa kumnyima haki yake ya mcingi, kama una ndugu huko jeshn kwa kipindi hk ni lazma utaguswa kwa njia moja au nyngne
  5. A

    JamiiForums Tanzania Fundisho gani Kuvunjika kwa ndoa ya Vicky Kamata?

    fundisho cio vizuri kuwa na mchepuko, wenye nguvu kubwa ya dola, maana atazuia wengne kufanya yao.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Prezoo vs Chagga Barbie: Acha movie iendelee

    mwe, chaga bibi
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: ''nikifa mimi leo au kesho niagwe uwanja wa taifa"

    loh, angelique jolie likes this
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wema na mama yake wafumwa singida

    mh tunaomba source ya huo udakuzi.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ile unafungua tu boneti ya gari.. Unakutana na hii!

    nduki, sigeuki
  10. A

    JamiiForums Tanzania Dear Gambe

    i wanna know, umenipa nini, i dont know sikuachi kwa nini.
  11. A

    JamiiForums Tanzania "nimeamua kuacha kujichubua"...mainda

    zile zinazomezwa everyday
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wanaigeria wamweka kiti moto diamond kwa kuvaa vibaya kwenye arusi ya peter wa p-square

    yuko wapi yule cjui desert, mana bosi yako anadhalilika huku.
  13. A

    JamiiForums Tanzania "nimeamua kuacha kujichubua"...mainda

    kaacha kwa kuwa zile dawa nazo zinachakaza ngozi, kwa hyo inabidi awe mpole hapo
  14. A

    JamiiForums Tanzania TAMWA, TGNP, LRHC wamucharukia professor Juma Kapuya

    vyovyote vile itakavyozungumzwa kuhusu hawa mabinti, either kapuya alikuwa mtu wao au la, ukweli ni kwamba kapuya amebaka. hakuna makubaliano kati ya binti wa miaka 14 na zee la miaka zaidi ya 50. hapo jela inamhusu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nadia’s Mother Confirms Jim Iyke’s Break-up With Daughter

    haya kanadia pause nyingi, alishawi kuwa na mchezaji michael esernie, pia wakamwagana.
Back
Top Bottom