Recent content by angelca

  1. angelca

    Receptionists & secretaries post Tanzania revenue authority (TRA)

    Haifunguki nahitaji kuaply Nina diploma ya secretary
  2. angelca

    Receptionists & secretaries post Tanzania revenue authority (TRA)

    Haifunguki hakuna njia nyingne hata ya post niaply Nina diploma ya secretary
  3. angelca

    Unique sisters wako wapi?

    Nimecheka sn
  4. angelca

    Ubonge noma

    Hahahaha nani uyo niende fasta
  5. angelca

    Ubonge noma

    Poa poa
  6. angelca

    Ubonge noma

    Habari zenu jaman! Naomba mnisaidie njia za kupunguza unene ikiwezakan hata anae jua dawa za kuondoa hamu ya kula plz wadau nisaidien najichukia sana.mazoez Na diet nimeshindwa kbs
  7. angelca

    Kila mtu analilia mapenzi, akiyapata

    Katika mapenz usipo kuwa mvumilivu unaweza kutembea Na kila aina ya ke/me ila mengne sasa hayavumiliki duh!! Mapenz ya run dunia
  8. angelca

    Serikali: Tunafikiria kufuta ada kwenye shule za sekondari

    Kwa kuwa anatoka madarakani aiseee ili ane fatia ndo aendeleze alikuw wp siku zote..???!!!!
  9. angelca

    RIWAYA: Siku ya graduation

    UsiAche kunitag plz
  10. angelca

    RIWAYA: Siku ya graduation

    Nilijua tu hahah!!!
  11. angelca

    RIWAYA: Siku ya graduation

    Aisee hadi natetemekaaa
  12. angelca

    Baadhi ya wanawake sijui wanachukulia vipi maisha

    Ukitaka kujua umuhimu au thamani ya mtu ni mpka umpotezee baadhi ya wanawake wanatuchafua sana!!!
  13. angelca

    Kwanini wasanii wa Bongo wengi wafupi?

    Kila mtu ni mrefu inategemea tu kusimama Na nani...!!
  14. angelca

    Series ya Kusikitisha based on true story

    Et iwe kweli
Back
Top Bottom