Kwanini wasanii wa Bongo wengi wafupi?

Kwanini wasanii wa Bongo wengi wafupi?

we mbilikimo acha uongo, mi ni mrefu na nimekuwa nikipata div 1, mpaka 1st class chuo. Watu wafupi ni mabogas na vilaza, wamekimbia shule wameenda ktk mziki na move. Ona john mnyika mrefu, msigwa mref, j.makamba mrefu. Then said fela mbilikimo, ruge mbilikimo, babra mbilikimo, joti mbilikimo
Ruge mbilikimo du kweli umechanganyikiwa
 
Mi ni mfefu jamani but binadamu hatustahili kuishi Kwa kutukana wengine.. Sijui jamii forum limekuwaje now days yani watoto wengi sana
 
MCHUNGUZI HURU kuna kitu unakosa na kitu unajishaulisha,hebu nikuulize

wewe huo urefu ulijipa ulijichagulia uwe mrefu?

hivi hujui kuwa uwezekano wa hata wewe kuwa mfupi ulikuwepo ikiwa aliyekutokeza angetaka iwe hivyo na hata akitaka kwa wakati huu unaweza kuwa mfupi?

kwa nini unawadharau watu wafupi?

nini kinakufanya wewe uwe wa pekee na hao wafupi uwaone wasio na maana?

au unaweza kunipa utofauti au umaana au upekee ulionao tofatui na hao wafupi?

urefu wako umekuongezea siku za kuishi?ukoo wenu wote ni warefu?

mkuu hii ni dunia tu na kuna mambo yako nje ya uwezo wa kila mmoja wetu,kuna mambo ambayo watu hawapendi kuwa nayo ila kwa kuwa hawana mamlaka juu ya hayo wanakaa tu kimya wakiugulia kivyao,kwa hiyo kama umejaaliwa uzuri,urefu wa haja mshukuru muumba wako na uwasikitikie hao ambao hawakujaaliwa na sio kuanza kuwanyanyapaa na kuwachambuachambua,hata wao hawakupenda kuwa hivyo walivyo wamejikuta tu.

mwisho mkuu dunia ni tambala bovu na ni uwanja wa fujo pia hayupo komandoo wa dunia unamjua wastara?zamani alikuwaje na sasa yukoje,hii ni dunia tu mkuu leo mrefu kesho mfupi kama njiti ya kiberiti,dunia ina mengi aksidenti magonjwa na makorokoro kibao ambayo si mimi wala nani aweza kuyazuia yanatokea tu na kwa wakati wowote mkuu,take care.

braza yaonekana na wewe upo kundi hilo hilo but sio mbaya ni mtazamo wake 2
 
Last edited by a moderator:
we mbilikimo acha uongo, mi ni mrefu na nimekuwa nikipata div 1, mpaka 1st class chuo. Watu wafupi ni mabogas na vilaza, wamekimbia shule wameenda ktk mziki na move. Ona john mnyika mrefu, msigwa mref, j.makamba mrefu. Then said fela mbilikimo, ruge mbilikimo, babra mbilikimo, joti mbilikimo
Haahahah jf yatosha!
 
Wewe warefu unawajua wangapi?Sasa ulitaka wawe kama Hashimu Thabit.
 
haaaaahaaaaahaaaa wala siwezi sema asante coz sihitaji huruma ya mtu coz being short sio kilema wala ugonjwa and how can you proove that am short? i am who i am,kusema hayo niliyosema haimaanishi nataka huruma ya mtu au mimi ni mfupi no siwezi kujivunia kitu ambacho sikujipa mimi au sikustrugle kukipata huo ni utahira na ndio nawakumbusha na ninyi mnaojivunia vitu ambavyo hamkuvitolea jasho kuvipata,hongera wewe uliyejipa huo urefu naona mwenzetu ulijiamulia kuwa mrefu na naona ukoo wenu wote ni matolu na naona you run this cruel world with a lot of shits,suit yourself mkuu walikuwepo kama wewe wengi tu ulizia kwa sasa wako wapi majibu utayapata !!!!!!!!!!!
pole mbilikimo, sio wewe peke yako hata lulu ni mfupi
 
kusema hayo niliyoyasema hakutoi guarantee kuamua nina kimo kipi,am just a human being who is concerned with others people well being nina imani hata wewe una mapungufu ambayo yanakukera na huyapendi na ungekuwa na uwezo ungeyatoa,utajisikiaje ikiwa watu wanakunyanyapaa au kukuchambuachambua kwa kasoro ulizonazo na wala huna control over them,yeah ni mtazamo wake lakini ni mtazamo usiofaa mtazamo wa kibaguzi na ninaamini hakuna anayepnda kubaguliwa iwe kwa ajili ya rangi,kimo,kabila,utajiri,umasikini n.k.
braza yaonekana na wewe upo kundi hilo hilo but sio mbaya ni mtazamo wake 2
 
haya basi tafuta ulimwengu wako peke yako ili usiwaone hao wafupi naona wanakukera mno,si uumbe ulimwengu wako basi ili usiaonane na wafupi?maanake unavyoongea ni kama vile warefu ndio wanaotakiwa duniani na wao ndio kila kitu,haya basi tafuta sayari yako uwakusanye warefu wote uishi kwa amani.
pole mbilikimo, sio wewe peke yako hata lulu ni mfupi
 
Mmh huyu mleta mada naona macho yake haoni vzr TID mfupi?
 
Back
Top Bottom