Recent content by Anganjwiri92

  1. Anganjwiri92

    SoC03 Wakati rasmi wa Tehema kuwa somo la msingi ngazi ya shule za msingi mpaka elimu ya juu

    Tunaishi kwenye ulimwengu wa maendeleo ya sayansi na tekinoloji, ni wakati sahihi wa serikali kuchukua uhamuzi juu ya somo la tehema kuwa somo mama, hili litasaidia kuchochea mhamko wa ulewa kuanzia mjini mpaka vijijini, kwa vile dunia sasa ipo kiganjani ni vizuri nchi ikaendana na kasi ya...
  2. Anganjwiri92

    Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Ushauri wangu kama baba kakubali kuhudumia watoto usiweke ukuta kati ya baba na watoto acha watoto wapate huduma mengine mungu atahukumu
  3. Anganjwiri92

    Msaada Diploma ya Procurement and Logistics Management

    Habari wanaJF, Naomba kuuliza nina diploma ya procurement and logistics management ila nina f ya mathematics kidato cha nne vipi nitakuwa na kigezo cha kusoma degree?
  4. Anganjwiri92

    Msaada wa ufafanuzi wa uhamisho kutoka Halmshauri kwenda Mamlaka ya Bandari

    Habari wana JF, Pasipo kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumishi kwenye Halmshauri X, nimeajiriwa kama afisa mtendaji, ila kwa bahati mzuri nina diploma ya shipping and port operation management pale Bandari College sasa lengo langu...
  5. Anganjwiri92

    Nini maana ya mchakato wa ajira?

    Samahani natoka nje ya mada ila nahitaji ufafanuzi.mimi ni mtumishi Halmshauri x,niliajilia kama veo,ila kwa bahati mzuri pia nina diploma ya kozi ya chuo cha bandari je nikihitaji kuhamia bandarini utaratibu upoje.?
  6. Anganjwiri92

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Pole broo ni sehemu ya maisha yako litapita tu
  7. Anganjwiri92

    Hakuna watu limbukeni kama baadhi ya mama lishe

    Hata baadhi ya ma bar medi wanafanyaga izo mambo
  8. Anganjwiri92

    Serikali yafungia Mchongo pesa na Chota mihela

    Mbona bado mchongo pesa ipo nasikiliza kipind cha michezo sport extra jamaa kapigiwa simu na luambano kashinda mchongo fiesta
  9. Anganjwiri92

    Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    Noma sana! Nilishafanya kibarua kampuni ya usafirishaji makaa ya mawe bandari ya mtwara ( ilifikia hatua ukitema mate yanakuwa rangi nyeusi supervisor alikuwq mkaburu ni shida kwa siku 10000.kazi haziishi lakini nilitika salama
  10. Anganjwiri92

    Msaada: iPhone 6 plus ina changamoto ya battery

    Sijawahi badili bettery ni og lakini kioo nishawai badili
  11. Anganjwiri92

    Msaada: iPhone 6 plus ina changamoto ya battery

    Inawezekana ni hivyo mkuu???
Back
Top Bottom