Hakuna watu limbukeni kama baadhi ya mama lishe

Hakuna watu limbukeni kama baadhi ya mama lishe

Shida ilianzia hapa
Vitumbua viwili viwili vya 2000
Supu ya 4000
Na Uji wa 1000

[emoji23]
 
Huyu jamaa amenikumbusha kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi Monduli, Sasa kuna rafiki yangu alikuwa yuko kozi pale TMA (Tanzania Military Academy) , basi wikiendi moja wameruhusiwa kaja kunitembelea home hapo bado niko bachela. Picha linaanza jamaa ananiambia usihangaike kuhandaa chai twende tukanywe kitaa, ebwanaa tukatimba kwa mama ntilie flani hivi pale town, jamaa alipiga show hiyo kila mtu alibaki ameshangaa .
 
Duuh
 
Hongera kwa jogging, mkuu. Endelea nayo consistently.

Kuhusu akina mamalishe, I think they are going through a lot to blame them for anything.

Wahurumie na kuwaelimisha kwa hekima & upole.

Hasta la vista!
 
Haya wengi wao ni wajinga mno na limbukeni, wanadharau mno za chini chini wakati wana shida. Ni leo asubuhi nimeamka safi tu, nimepiga 'jogging' nimeoga, sasa ile saa 4 nakwenda kupata japo supu ndipo haya yaliponitokea.

Niliagiza vitumbua vya 2000 nikawa nakula viwili viwili kwa wakati, nikamaliza nikaagiza supu ya 4000 ya kongoro na nikashushia uji wa ulezi wa 1000. Sasa nasubiri chenchi yangu nao wananiangalia tu ilhali chakula nishamaliza kula, yaani tunaangaliana tu bila sababu.

Ghafla naona amezubaa, anakonyezana na wenzake kwa siri kisha kama wanateta. Ni utaratibu mbovu, mteja anaweza hisi hata mnapanga njama za kumuua.

Pia siyo lazima wakati mteja anakula naye anakaa hapo hapo mnaangaliana, huu ni ujinga. Mteja akila we' toka na upotee. DSM imeshamiri sana hii.

Badilikeni, acheni kuingilia faragha za wateja wenu.
Hata baadhi ya ma bar medi wanafanyaga izo mambo
 
Tangu waanze kazi yao miaka zaidi ya 10 iliyoppita hawajawahi kumuona mteja anayekula kiasi hicho.
Ila kwakuwa umelipia kwa pesa yako hawakupaswa kushangaa.
Mbona mtu mwingine anakunywa mpaka bia 10 au zaidi na barmaids hawashangai
 
Back
Top Bottom