Mauaji ya Sheikh Abeid Karume
Kutoka kitabu Cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.
(Misheni ya Tatu)
Baada ya kuona namna mwanamapinduzi halisi, Field Marshal John Okello, alivyoondolewa Zanzibar na kupokwa mamlaka na jinsi alivyoongoza Mapinduzi ya mwaka 1964, na kuundwa kwa Serikali ya Mseto...
Kuna picha moja hapo. kuna watumwa wako wengi na askari mweusi hii ina maana gani?. Then hiyo picha wako ndani ya kanisa la mkunazini je? Hawa walikuwa ni waarabu?. MIE NATOA CHALLENGE yoyote mwenye picha ilio pigwa ya mwarabu sio ya kuchora. Anipe na akitafuta atizame za wazungu amezipata...
Mtoa post kuwa makini na post yako. Mana naona kama una propaganda na utumwa na uwarabu ktk picha zako mimi sija ona sehemu zanzibar wala mwarabu. Ila nime ona watumwa na wazungu
Weye ukiona mtu ana muumbuwa mtanzania mwenzake. Ujue tuko pabaya sana. Cjui nani wa kitu penda. Upuuzi mtupu. Ukimtizama huyo anae mwita mwenzake ngedere au sokwe yeye kuliko taka jalalani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.