TANESCO wamekaidi agizo la Rais kuikatia umeme Zanzibar

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,206
Masaa zaidi ya 48 tangu Rais JPM kutoa agizo kukatiwa umeme mdaiwa sugu Zanzibar bado uongozi wa TANESCO haujatekeleza agizo la Rais.

This amounts to insubordination.

Uongozi wa TANESCO utumbuliwe kulinda hadhi ya Rais.

Hapa kazi tu.
 
Kauli za kisiasa majukwaani huwa mara nyingi zinabaki hukohuko - kwenye jukwaa.
 
Mkuu simple mind mgogoro na matokeo ya agizo hili sio simple.
Subiri uone response ya Wazanzibari
 
Mkulu kazidi kuropoka mpaka watu hawatilii maanani maagizo yake.....Akitoa kauli ya ajabu watu wakiishadadia tunaambiwa alikuwa anatania na kuwa mkulu wetu ni mcheshi sana.....So ni bora tu maagizo yake yote yasiyo make sense watu waassume anatania maisha yaendelee
 
Masaa zaidi ya 48 tangu rais JPM kutoa agizo kukatiwa umeme mdaiwa sugu Zanzibar bado uongozi wa TANESCo haujatekeleza agizo la rais. This amounts to insuebordination . Uongozi wa TANESCo utumbuliwe kulinda hadhi ya rais. Hapa kazi tu.
Viroba bado vinanywewa
Una uhakika gani kama wamelipa?
 
Viroba bado vinanywewa
Una uhakika gani kama wamelipa?
Thubutu SMZ itatoa wapi 121 billion in short order, mishahara ya wafanyakazi tu pasua kichwa. Kubali kwa hili Muungano umenasa pabaya ,Zanzibar itatumia free energy for ever and a day. Bisha ,kata umeme uone repercussion yake. Mtaimbo umeganda baba. Hahaha.
 
Mkuu wa nchi haheshimiki pale tanesco eeh au amri zake zinachunguzwa siku hizi???
 
Back
Top Bottom