wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,290
- 3,946
Mi nachukua buku saba kwa mwezi,laki mbili na kumi,vitz yangu full tank mwezi mzimaUmechagua upande unakufaa kwa njaa zako. Kapokee bk 7 haraka dirisha leo lafungwa mapema.
Mi nachukua buku saba kwa mwezi,laki mbili na kumi,vitz yangu full tank mwezi mzimaUmechagua upande unakufaa kwa njaa zako. Kapokee bk 7 haraka dirisha leo lafungwa mapema.
Ukiacha matusi kuna nini kingine umechangia hapa?Delighted hardworking kwenye majiko ya wanaume wenzio. Mtoto si riziki wewe. Wewe ni mfanyabiashara huko ughaibuni wa ule mtandao pendwa na watu hawalipii huduma kwa cash si wanapitisha kwenye account? So hizo financial statements zako hatizanifanya nipate cardiac arrests coz najua hayo ni malipo ya kushika ukuta. So si ajabu.
Kwa hiyo kuichagua CHADEMA ndio kiwango cha kuelimika?Mkuu Yericko, japo sikubaliani na takwimu zako, kwasababu hazija reflect the truth reality lakini hoja yako ni ya msingi sana.
Kipindi cha Nyerere, there was a time Tanzania ndio ilikuwa na the highest literacy levels in Africa kufuatia elimu bure, UPE, na kisomo cha watu wazima ile elimu ya ngumbaru.
Ila nakubaliana na hoja yako kuwa Tanzania taifa la watu wajinga wajinga na sisi wengine hili tuliisha lisema sana tukalaumiwa tunawatukana Watanzania kuwa ni ma ignorants.
Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.Tuache Cherry Picking Kutafuta Mbuzi Wa Kafara!.
Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The Highest Levels! Mnashangilia Uji
Paskali
Kigezo hiki hapaNi kigezo gani kinatumika kupima ujinga na werevu?
Unge fahamu hela ya serekali ni yako, usinge subutu kutamka maneno haya shame on you 2Maajabu ya bavicha haya,
Kila siku unatukana serikali ya JPm kwamba ni ya hovyo alafu unataka serikali hiyohiyo ikusomeshe!! ?
Shame on you
Mie nita msaidia 95% ya wa tz ni wajingaHUU PIA NI UJINGA , KUTOA TAKWIMU BILA SOURCE ! TUONDOLEE PROPAGANDA ZA KIJINGA .!
Pale njaa itakapo zidi ndo uta tafuta na wewe group lako ktk takwimu hizi uki wacha werevu na werevu sana.Katika watu walifilisika kimawazo ni pamoja na huyu Yericko.Kama utafiti wako ni scientific&Quantitative ulipaswa kuweka data za kueleweka na sio kubandika % tu
serekali kusomesha ni wajibu si ombi...Maajabu ya bavicha haya,
Kila siku unatukana serikali ya JPm kwamba ni ya hovyo alafu unataka serikali hiyohiyo ikusomeshe!! ?
Shame on you
Tupigie japo picha halafu utuwekee tule. Mana nasikia siku izi kuna keki mpaka za mabasi,Mchele wa barabara, unga wa majumba na maji ya ya nguwoHacha unafiki wewe bwana mdogo, umri mdogo unakuwa mnafiki, ukizeeka c utakuwa mchawi? Inamaana huoni kabisaa maendeleo yanavyokuja kwa kasi au umevaa miwani ya mbao na kujitoa akili?
Ukisha maliza kuzoea katie vocha werevu wako ununue bandleHoja za kijinga sana kuwahi kutolewa na mjinga tuliyemzowea!!
Uko juuMkuu Yericko, japo sikubaliani na takwimu zako, kwasababu hazija reflect the truth reality lakini hoja yako ni ya msingi sana.
Kipindi cha Nyerere, there was a time Tanzania ndio ilikuwa na the highest literacy levels in Africa kufuatia elimu bure, UPE, na kisomo cha watu wazima ile elimu ya ngumbaru.
Ila nakubaliana na hoja yako kuwa Tanzania taifa la watu wajinga wajinga na sisi wengine hili tuliisha lisema sana tukalaumiwa tunawatukana Watanzania kuwa ni ma ignorants.
Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.Tuache Cherry Picking Kutafuta Mbuzi Wa Kafara!.
Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The Highest Levels! Mnashangilia Uji
Paskali
Mkuu Nyenyere, msikilize huyu mtu aliwahi kusema nini...Kwa hiyo kuichagua CHADEMA ndio kiwango cha kuelimika?
Agreed, lakini mkuu, we don't have that much options. Kwa bara usipoitaja CHADEMA utakitaja chama kipi tena!? Sasa angalia staratergies zake, they are not honest, why should we trust them? Kimegeuka chaka la opportunists, wale figures waliowajenga wamefanya kazi ya kuwabomoa! We need changes, but who should we entrust then?Mkuu Nyenyere, msikilize huyu mtu aliwahi kusema nini...
Albert Einsten aliwahi sema:
"Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results"
Na Mwalimu Nyerere aliwahi kusema
"Kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia makosa". Akaendelea kusema "Kila awamu ina mazuri yake na mengine ya kijinga, nashangaa sana watawala wetu wanayaacha mazuri na kukumbatia ya kijinga", hivyo hiyo ni proof kuhusu Ignorance yetu sisi Watanzania!.
And the issue is not about Chadema, bali ni kitendo cha licha ya madudu yote, lakini Watanzania wanaendelea kukichagua chama kile kile, watu wale wale na mambo yale yale.
Siku za nyuma we had no alternative, but now days we have a choice to choose from and not necessarily Chadema.
Paskali
kumwita LOwasa fisadi na baadae kumpa nafasi agombee urais ni ujinga au werevu?[/
Ni upumbavu, upuuzi na ulofa wa hali ya juu . Waliopigia ndio mazuzu kabisaaa