Watanzania ni wasaulifu Mwalimu Nyerere mwaka 1995 alituambia huyu hajakuwa , kwa usahalifu wetu 2005 tukampa nchi . Tunachokishuhudia sasa ndicho alichokuwa akikimaanisha Mwalimu , Baba wa taifa la Tanzania , makosa ya 2005 /2010 tusiyarudia mwaka huu .
Acheni mzee Mkapa apumzike , hivi haukumbuki maneno ambayo aliwahi kuyatamka nayo ni haya Ccm kuna mtu ambaye itamfia , unataka agombee ili imfie ? Mkapa ni kichwa hata wakivunja kanuni hatokubali uozo huo .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.