Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,036
Mkuu hapo kwenye dola mbona umempendelea? Sio $ 1 kwa sh.1840 bali ni $ 1 kwa kwa sh.2005 eti anadai hiyo ni kumbukumbu yake ya kujiingiza madarakani kwa wizi wa kura.
----------- juzi niliiona wamesema "nchi ipo kwenye Auto-Pilot...."Siendelei tena alielewa ameelewa!!
jamani mimi napita tu
Huyu dhaifu ni janga kutwa kigulu na njia
Nchi ina rais ila sema ndo hivyo tena sijui ni upole umezidi au ndo utawala bora!!!
Rais yupo bana.
Nchi inaenda msobemsobe! tukisikia puuu! tujue tumefika!
Khaa!! kiongozi wewe ni mgeni hapa mjini?? Nauliza tu :glasses-nerdy:1.Leo nafunguka kwa kusema hivi ''TANZANIA NI NCHI PEKEE DUNIANI INAYOJIENDESHA YENYEWE BILA RAIS''. Ni muda mrefu sasa mambo mengi yanatokea, watu wanachota rasilimali za nchi bila huruma, mikataba mingi feki inasainiwa tu, wizi mkubwa wa pesa za walipa kodi mfano richmond, dowans, kagoda nk, lakini haya yote yakitokea rahisi yupo kimya wala hashtuki, hatoi onyo lolote japo mkwara tu. Lakini cha ajabu alipotakiwa kuzungunzia DOWANS alijing'atang'ata tu ulimi na kuishia kusema hawajui dowans na wala hana shida ya kuwajuwa.(.......)??????
2.Mawaziri wengi aliowateuwa yeye mwenyewe kwa utashi wake, wameonekana kuboronga kiasi cha kumtia aibu kubwa lakini wala hakuna hatua yeyote ya kuwajibika inayochukuliwa na hamna anayeuliza. (......)?????
3.Ndani ya chama anachokiongoza watendaji wake wakubwa wameonekana kuropokaropoka tu kila mmoja na analoamkanalo ndo hilohilo bila hata kutafakari analisema.(......)?????
4.Shillingi ya nchi yetu dhidi ya dollar ya marekani ndani ya mwezi mmoja imeshuka toka $1/Tsh1540 hadi $1/Tsh1840. Hakuna hatua yoyote ya kuimarisha shillingi yetu inayochukuliwa na kiongozi wetu.(.....)????
5. Na mengineyo mengi tu.(why)?????
Kutokana na haya yote ni sawa na kusema Tanzania inajiendesha yenyewe bila rais.
SOURCE; NI MTAZAMO WANGU.
Naomba kuwakilisha hoja.