Huu ndio mchezo wanaochezewa UKAWA

Huu ndio mchezo wanaochezewa UKAWA

Mkuu kwanza za siku tele upo?

Ukawa wanajichezea wenyewe na uroho wao wa madaraka na kutaka wapate vya haraka hata kama hawastaili.

Umeacha WAROHO wa MADARAKA ambao wanaununua kwa PESA za WIZI unakwenda kwa watu wanaojinadi?Ukiwa MPU....MBAVU basi ufiche japo kidogo,tumia akili ya kuzaliwa siyo kila wakati unaropoka..........Acha kama umezoea ATM basi safari hii imefungwa
 
Habari kutoka jikoni zinasemakuwa mchezo umesukwa kiustadi kuhusu BVR kwa lengo la kuwapumbaza UKAWA.Inaelezwa lengo la usajili wa mfumo wa BVR si kuwa utumike kwenye uchaguzi ujaobali ni ucheleweshaji wa makusudi kwa lengo la kurudi kwenye daftari la zamani,inaelezwa itakapo fika karibu na uchaguzi tume itaseme muda hatoshi hivyo nibora kuboresha tu daftari la zamani. Mtonyaji anasema hapo ndipo UKAWA watakapopigwabao la kisigino.

CCM wanaji-kurunzinza kupitia Tume yao, waangalie isije kuwa kama Jonathan wa Nigeria...alianza 'ukurunzinza' lakini wapi ilipofikia kung'oka, aliambulia mabua! CCM haina pa kutokea!
Makene na Makamanda wote wa UKAWA, wekeni tayari 'viona-mbali vya intelijensia' kuyaleta yote yaliyo 'sirini' yaje upenuni hapa tuyalipue, CCM na Tume yao waendelee kukimbiana...hakuna kulala!
 
Last edited by a moderator:
bila tume huru kupatikana ukawa wasahau kuingia ikulu


Mbona hata hiyo tume huru isomekavyo kwenye rasimu ya katiba pendekezwa ina ukakasi mkubwa mbo, kwa uelewa wangu nilijua kwamba mgawanyo wa wajumbe wa Tume utazingatia itikadi za kisiasa - kumbe duuuuh lahaullaaaah!
 
Hilo lilikuwa linajulikana. Ukawa walifanyie kazi
 
Tutakinukisha mbona...oh hooo...!!!!!🔞🎥🔞🎥🚯🚯
 
Tunajua kuhusu michezo mingi ya chama kilichochoka na nec. Tuko tayari kukabili yatakapodhihiri!
 
UKOMBOZI NI LAZIMA, itafikia wakati wanatupiga mabomu na risasi tuwatambue na koo zao kama sio familia zao
 
UKAWA ni wananchi nasidhani kama ukawa wanaweza kukubali mchezo wa kijinga namna hiyo
Wengi wanadhani watu wote waliopo tume ya uchaguzi wanafurahia mambo yanayofanywa na serikali ya CCM. Sasa hivi ndani ya serikali na hata ndani ya CCM yenyewe hakuna siri. Watakalolifanya lolote lita-leak tu.
 
Hiyo ni sawa na kuzuia mafuriko kwa vidole. I can smell something bad, nashauri kama vipi tufanye kama tulivyofanya serikali za mitaa watapata kichapo ambacho hawatasahau maisha yao yote
 
Back
Top Bottom