Kwanini "kingmaker" Rostam Aziz amerudi nchini kipindi cha uchaguzi?

Tangu alipojiuzulu ubunge na nyadhifa zote za uongozi ndani ya CCM. Rostam aziz alifungasha virago vyake na kuelekea dubai.

Ghafla tu aliposikia Tanzania tuna uchaguzi mwaka huu amerudi nchini na zaidi imedokezwa kuwa amechukua mikoba ya master minder wa mipango ya urais ya mgombea mmoja ambaye anatumia sana faranga kutafuta uungwaji mkono katika harakati za urais.

Kwa hali hiyo tuseme kingmaker amekuja kuwachongea watanzania mfalme mpya?
Rostam ni jembe joka la mdimu linahaha
 
Mkuu inaonekana wewe bado mgeni sana na mambo ya siasa hususani siasa za Bongo.

Nakuhurumia kwa kujibu hoja yangu kwa "mhemuko kifafa", na hayo ndio matokeo ya kuamini kila unacho kiona na kukisoma katika mitandao na vyombo vya habari. kuwa makini kuchuja habari unazo zisoma vinginevyo utajaza server ya ubongo wako hata kwa maneno ya kusadikika.
 
Amekuja kuokoa jahazi la Lowassa linaloelekea kuzama!!!
 
Nadhani amekuja kukagua mahesabu ya ACT kabla ya kuruhusu pesa zingine kutolewa
 
Tangu alipojiuzulu ubunge na nyadhifa zote za uongozi ndani ya CCM. Rostam aziz alifungasha virago vyake na kuelekea dubai.

Ghafla tu aliposikia Tanzania tuna uchaguzi mwaka huu amerudi nchini na zaidi imedokezwa kuwa amechukua mikoba ya master minder wa mipango ya urais ya mgombea mmoja ambaye anatumia sana faranga kutafuta uungwaji mkono katika harakati za urais.

Kwa hali hiyo tuseme kingmaker amekuja kuwachongea watanzania mfalme mpya?

Amekuja kuhakikisha lazima ccm wanampitsha el,bila hivyo anaisambaratisha ccm na kubaki historia.
 
Tangu alipojiuzulu ubunge na nyadhifa zote za uongozi ndani ya CCM. Rostam aziz alifungasha virago vyake na kuelekea dubai.

Ghafla tu aliposikia Tanzania tuna uchaguzi mwaka huu amerudi nchini na zaidi imedokezwa kuwa amechukua mikoba ya master minder wa mipango ya urais ya mgombea mmoja ambaye anatumia sana faranga kutafuta uungwaji mkono katika harakati za urais.

Kwa hali hiyo tuseme kingmaker amekuja kuwachongea watanzania mfalme mpya?

Ndio mwisho wa ccm huo.
 
Anarudi kuchonga kinyago kingine apeleke magogoni ili aweze kuendelea kula nchi ccm hoyeeeee.................
 
Sijapata kuona jitu jiongo kama wewe.

Rostam yupo hajafunga virago kwenda kokote na kama anasafiri basi anasafiri kwa shughuli zake za kibiashara na kurudi.

Hivi huo uongo unawasaidia nini?

Maccm yanaparulana,migambo wanaruka na kukanyagana.
 
Jamani msibeze hoja hii,hata ningekuwa mimi nimewekeza fedha nyingi katika miradi mikubwa mikubwa ningependa kufuatilia kwa karibu mabadiliko ya uongozi ili mali zangu zibaki salama.
Wasiwasi wake huyu jamaa ni pale asije alaingia madarakani mtu mwehu akalirudisha azimio la Arusha.

Kwa hiyo,EDWARD NGOYAI LOWASA,ndiye prezidaaa!
 
Msichoelewa ni kua huyu jamaa yuko kwenye movement za EL Kitambo tu, si kwamba amerudi sasa. Zile hela zote zinazotawanywa kwa watu mbalimbali zina mkono wa huyu bwana.

Huyu Jama anamiliki New Habari Corporation ambayo Hussein Bashe ni CEO wake, hapohapo huyu huyu Bashe ndie Injini ya EL hivyo hawa watu wawili hawatenganishiki toka Kitambo tu.

RA alikuwepo kwa EL na ataendelea kuwepo, na sio kwamba amerudi sasa.
 
Tangu alipojiuzulu ubunge na nyadhifa zote za uongozi ndani ya CCM. Rostam aziz alifungasha virago vyake na kuelekea dubai.

Ghafla tu aliposikia Tanzania tuna uchaguzi mwaka huu amerudi nchini na zaidi imedokezwa kuwa amechukua mikoba ya master minder wa mipango ya urais ya mgombea mmoja ambaye anatumia sana faranga kutafuta uungwaji mkono katika harakati za urais.

Kwa hali hiyo tuseme kingmaker amekuja kuwachongea watanzania mfalme mpya?

Mtajiju, sie UKAWA tuna yetu
 
Anarudi kuchonga kinyago kingine apeleke magogoni ili aweze kuendelea kula nchi ccm hoyeeeee.................

Nafurahia kwamba sasa wajukuu zangu watakuwa wanaisoma ccm kwenye vitabu civics kuwa kulikuwa na ccm,teeeh,reeeh,teeeh,teeeh
 
Back
Top Bottom